mpangaladaniel
Member
- Aug 31, 2012
- 12
- 0
Wadau naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kuroot huawei ascend y-300 anisaidie.
Wadau naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kuroot huawei ascend y-300 anisaidie.
Ku-root ndio kufanyaje
Download Kingo root hii ukiweka cm yako itaroot yenyewe na mwisho simu itazima na kujiwasha hapo itakuwa imemaliza kuroot
Hii si ya kulipia kweli...?