Nikwaida kwa wa tz kuwa na mihemko,Leo watakuja na hiki kesho like,hatmae tuhuma za dona zmepotea ndani ya ski,kiki mpya ni ya dogo janja wa dar,yaaani me sielew kipi no kipaombele kwa awamu hiij,siiahii kusema 2017,in mwaka wa kiki,no development ya chochote zaid ya kiki za msimu,mambo ya...