Hivi kwa nini mnaendelea kujitia moyo.Kwanza the fact that you do not have the appropriate certificate for whatever you are doing,means that you are not qualified to do that job.Why?This is simply because you don't have the necessary background knowledge.For one to be competent he needs both.Unapoijua theory ya unachofanya inakuweka kwenye position nzuri zaidi ya kufanya kazi yako.Jamani mtu ujue kuunda gari bila kuwa na knowledge ya gravitational forces.Si mgari wako utaua watu kila siku kwa kuanguka.Experience peke yake haitoshi, vyote vinahitajika. Tusijidanganye!Nendeni mkasome.Tatizo liko wapi?Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Yani huyo mtu aliechaguliwa anawakosea sana waalio mchaguwa.Enzi zile ilikuwa kawaida mtu "aliyechaguliwa" kama anapenda kuwa fundi wa trekta la kijiji basi nafasi yake anampa mwanakijiji mwenzio ili fursa hiyo pale kijijini isipotee!
Hata kama ni form four lkn hajakataa wala hajafoji vyeti hivyo ni mkweli ndo moja ya sifa ya kiongozi wa watu.Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Na je hiyo ELIMU ni yake au amenunua cheti au kuazimwa na ndugu jamaa na marafiki?? Lizaboni answer please...Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Mwambieni basi huyo babu yenu asimamishe uhakiki wa watumishi hewa na waliofukuzwa warudishwe kazini. Hii tabia ya kuropoka kama mmekula mirungi kwa sababu anayetakiwa kutoa uhakiki wa vyeti mnampenda ni upumbavu.Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Mwingine wa staili ya "Z" ni Mkumbo Madelu wa Ilboru Spesho Skuli.. aka Che Gwevala..Ni vizuri tukawa wakweli, kama mtu Jina sio lako basi sema Jina sio langu na nililipata kwa njia hii. Mbona yule Jidulamabambase alikuwa akisema wazi kuwa alirudia shule na Jina lililoko kwenye vyeti ni lile alilotumia kurudia.Tunahitaji watu wenye maadili kabla ya kuangalia vyeti au ujuzi.
Tunahitaji cheti kinachodhibitisha maarifa yako, kwa maana kama una cheti ambacho hukukipata kwa njia za panya ni dhahiri utakuwa maarifa ambayo watu wamejiridhisha na hakuna haja ya kukutilia shaka kama una maarifa au laMr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!