Rahisisha kazi zako kwa portable scanner hii kwa bei nafuu

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
je unahitaji kuscan document,picha au chochote kile(picha ya ukutani,sakafu)?

basi nunua scanner hii ambayo inatumia bettry na inascan chochote na kuihifadhi kwenye memory card.

utaweza kuhifadhi vitu vyako ulivoscan kwa mfumo wa JPG/PDF.

scanner hii inapatikana kwa 50,000Tsh tu.
nipigie 0673206639

karibuni
20161030_105829.jpg
20161030_105842.jpg
 

Attachments

  • 20161030_105842.jpg
    20161030_105842.jpg
    111.2 KB · Views: 38
Hii nilipata kuiona ktk season ya the spy... Jamaa aliscan kitabu chote kikawa soft copy... Sikuwa nikiamin nikiamini ni maigizo tu now napata mwanga halisi
ndo hiyo hiyo..unaweza ukascan hata picha ya jpm iliyobandikwa ukutani
 
Si mbaya kuwa nayo kwa watu wa office ila siku hizi una scan hata kwa kutumia simu na apps kama cs scanner and iscanner na kitu kinatoka poa tu!
 
Si mbaya kuwa nayo kwa watu wa office ila siku hizi una scan hata kwa kutumia simu na apps kama cs scanner and iscanner na kitu kinatoka poa tu!
hii kwa matumizi ya ofisi ndo yenyewe
 
Back
Top Bottom