Recent content by Zohaan

  1. Zohaan

    Telegram sipokei verification code

    Thanks a lot bro hii kitu imenisumbua muda mrefu sana nilishakata tamaa
  2. Zohaan

    Ukikuta begi limetelekezwa limejaa maburungutu ya pesa liache kama lilivyo, usijizidi akili kujiona mjanja ukimbie nalo

    Chukua pesa wahi chap kwa wakala nmb crdb fanya muamala potea Usituletee ugogolosh
  3. Zohaan

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Dogo hamna kitu yule nimeangalia almost game zake wakat yupo Norwich city Kweny national team ya vijana anajitahid lakn kwny senior challenge yuko ungaa
  4. Zohaan

    Azam na Dstv nani Bora zaidi?

    Kama ni mpenzi wa Kabumbu nunua Azam kama unapenda soccer nunua DSTV
  5. Zohaan

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Link nyngne hii direct ya mediafire Patch ina kam 10GB + Ishii nayooo humu kuna hadi timunza wanawakeee https://www.mediafire.com/folder/ho1rok7k42c7n/FIP14_v5_FULL
  6. Zohaan

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Kuna link hii ya channel ya telegram huko mzee unamaliza kila ktu Kuna patch za Fifa14 pamoja na unyama wotee [emoji116] https://t.me/fifa14patches
  7. Zohaan

    Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

    Movie kali ila u take us back to old school
  8. Zohaan

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji16][emoji16] mkuu tupo hapa mpaka kiama
  9. Zohaan

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Next season tunabeba EPL tuwazibe midomo Naon iyo Carabao inakupa jeurii
  10. Zohaan

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hao man city hawana historia yyte na EPL nakuona msimu ujao 10Hag akiwashusha daraja mnavojpendekeza kwa Mancity
  11. Zohaan

    Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

    Kumzid Q?? Your not serious bro ni Hiphop au Genre nyingne unaongelea
  12. Zohaan

    Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Dahh mkuu na mim nina changamoto kama ya Kwako aisee najaribu kuwasilian na huyo mtu hanipi ushirikiano. Nna mpango wa kwenda Voda Makao makuu wanisaidie kupata zile OTP
  13. Zohaan

    Msaada kuhusu PES 2017 kwenye kompyuta

    Kama hukufuta chchote kinachohusiana na patch ya 2023 kweny folder ambalo uneinstall game ni simple tu. Download Pes master alaf u regenerate kila ktu kitakaa poa
  14. Zohaan

    EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

    Sasa jamani wamesema Africa 2061 alaf kuna IST kweli
Back
Top Bottom