Azam na Dstv nani Bora zaidi?

Azam na Dstv nani Bora zaidi?

Salam,Nimeshanunua Dstv na Bado sijaifunga mpaka next week.Ila Bado napata utata mpaka nawaza nibadili gear ninunue decorder ya Azam Kwa namna raia wanavoiponda Dstv.
Wanadai kwamba Dstv inaganda,wanarudia rudia vipindi sana.Ushauri wenu,Dstv na Azam nani zaidi ?
Dstv wako level ya International
 
Yaani anaekwambia wanarudia vipindi ni wazi king'amuzi hajui hata bei maana mda wote anashinda kwa TV na haiwezi kuwa yake yaani yupo kwa ndugu. Ukiwa unamililinTV ni ngumu kuwa mtu wa kushinda ndani mpaka unajua vipindi kiasi hicho.
 
Na pia wanarudia rudia Ili ambao walimiss Kipindi nao wakione tena,nadhani hawana lengo baya
 
Azam wametushika watu wengi kwa sababu ya kurusha mechi za Ligi kuu ya NBC. Kinyume na hapo, wangekuwa kama ZUKU tu.
 
Azam ni chanel ya wapiga kura.
Ndio maana hata filamu za kingereza wamewatafsiria wateja wake (wapiga kura) ili waweze kuzielewa.
Rush hour 3....Chris Tucker anaongea kwa kiswahili lafudhi ya kizanzibari.

Km wewe ni mzalendo mpiga kura nakushauri nunua Azam, hutojilaumu.
 
Azam kuna kipi kizuri zaidi ya mpira wa bongo?
 
Back
Top Bottom