not10xdeveloper
Member
- May 8, 2025
- 7
- 11
Hii issue ni ukiwa una sign up as new account so ktk ile hatua ya kusubir verification code ndo haiji, ila ukiwa tyr una account Yes, ukiwaasha VPN unatumia as usual.Tumua VPN sometimes inakubali kibishi..
Hii issue ni ukiwa una sign up as new account so ktk ile hatua ya kusubir verification code ndo haiji, ila ukiwa tyr una account Yes, ukiwaasha VPN unatumia as usual.Tumua VPN sometimes inakubali kibishi..
Tumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
This VPN worked for me, nina VPN premium pia ilikuwa hakuna code wala call inoingia.Tumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
Karibu sana mkuuView attachment 3332458Shukrani mkuu nimefanikiwa
Ipo vizuri sana yaani sanaThis VPN worked for me, nina VPN premium pia ilikuwa hakuna code wala call inoingia.
Thanks man.
Heshima kwako mkuu, imekubali Kwa kutumia 1.1.1.1, ubarikiweIpo vizuri sana yaani sana
Karibu sana mkuuHeshima kwako mkuu, imekubali Kwa kutumia 1.1.1.1, ubarikiwe
Mkuu umetusaidia wengi sana aisee shukraniTumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
Karibu sana mkuuMkuu umetusaidia wengi sana aisee shukrani
Watu wa Iphone vipi?Karibu sana mkuu
Hii hapa ndugu yanguWatu wa Iphone vipi?
Shukrani sana mkuuOyaa Vincenzo Jr umetisha mkali
Hata kesho mkuu 😂 😃 😃Vincenzo Jr nambie lini na wapi unataka ukutane na Fally ipupa nitakulipia ticket ya ndege.
🙌
Sana aisee, ni product ya Cloudflare wapo vizuri.Ipo vizuri sana yaani sana
Clear caches and data kisha washa vpn tena ujaribuNimewasha lkn bado sijapata code mkuu
Oya hii magori sana. Imekubari kirahisi tu. Wakati nimeteseka mwezi mzimaTumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
Thanks a lot bro hii kitu imenisumbua muda mrefu sana nilishakata tamaaTumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
Karibu sana mkuuThanks a lot bro hii kitu imenisumbua muda mrefu sana nilishakata tamaa