Nilikua nauliza tuu, wanasema Yale majani huongeza uwezo wa kufikiri+ kung'amua mambo.
Vyema sana, nimependa sana uwezo wako wa kuREASON mambo. It seems like you're good personally.
Mkuu I can promise and guarantee 💯, kama unamdogo wakike yupo kama wewe namuomba😊😊.
Shukrani pia kwa maada...
Kwahiyo mkuu mimi ni sawa na Manyanza 🤣🤣🤣👐
Sio chai ni ukweli lakini.
Mimi sio mtu wa kuchukulia vitu personal na pia sikuona sababu ya jamaa kuongea maneno yale na ndio maana sikumjibu kabisa.
Lakini baada ya kuishi nae ndio nilikuja kujua kwamba hata tungebaki wawili tusingekuja kupatana na...
Mkuu nimekukubali, upewe medali zako tuu🎖️🏅🎖️🏅.
Just to ask??? Huwa unatumia haya majani(w**d) joking
You are good at reasoning, seems like you got so much time to observe everything that goes around you & you're surrounding. This is the highest level of intelligence someone have. I real like...
Nakusalimu mkuu,
Kuhusu maada zako fikirishi Kuna siku nitasema la moyoni.
Niende Moja Kwa moja kujibu swali.
Kutokumkubali mtu binafsi huwa sio chuki ila naamini huwa Kuna msukumo kutoka ndani ambao husababisha hiyo hali.
Mimi binafsi huwa napenda kuwa positive(Positivity), Yaani katika...
Mkuu by fact huyu kijana Huwa nakaa nae porini hata miezi mi3.
Kuna siku nikamtania watakusaidia kazi kwa shemeji, akanipa hiyo mbinu alafu kuna siku nikakuta mtu analalamika humu JF.
Yaani ukimtongoza mke wake ukalale nae kamwe hauwezi kusimamisha😂😂😂. Huu uchawi kwangu ni mzuri
Mkuu umeliweka vyema hili.
Hawa watu hawajui chochote kuhusu biashara wala miradi na jinsi makampuni yanaendeshwa katika hii nchi.
Wanachojua wao ni ghiriba, ukaguzi na kukaa vikao vya kupeana posho.
CRB ilifaa iwe mlezi wa makampuni ya wazawa lakini wao ndio wa kwanza kuua makampuni ya...
😂😂😂 Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!
Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.
🤝🤝🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.