Recent content by Zinja67

  1. Z

    Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

    Ni sawa na viwanja viwili vya mpira Sent from my SM-G531F using JamiiForums mobile app
  2. Z

    Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Kama ndio mim nagaili kuuza aise
  3. Z

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Apo mkuu kuna menu ukibonyeza inatokea maneno ambaye yanamtaka mhusika aweke namba ya siri then jamaa anamwambia aweke namba ya siri yeye bila kijua baada ya apo inaleta sms ile sms inapokuja inakuwa ina namba ya siri kwahiyo wakala anafungua ile sms anasoma fast then anafuta ....pole sana mkuu...
  4. Z

    Umri muhimu kijana kupiga hatua

    Ni vizuri ungetueleza ulifanya nn? hakuna mtu anayependa umasikin jaman. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    Hivi Mshahara mzuri unaanzia shilingi ngapi Tanzania?

    Umeongea kama kidukulilo .... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

    Atafute kazi hukohuko amana walio mshambulia hadi Leo hawajulikan Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wew ni mnunuzi wa mbao aina gan Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    Uzi wa JF uliobadili maisha yangu. Nilikutana na Malaika

    Hiyo asante bro tuwasilian tu tufanye project ya maana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    4000 Inategemean na hiyo siku Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    Mwanamke anaweza kupata mimba kwa kutumia pedi?

    Kakudanganya aise! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Z

    Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

    Acha mawazo ya kufikiria unahera ipo kwa mzee....Anza upya utabarikiwa sana hizo hera usifikiria ata kdg ingia kitaa upambane... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Vema ungefafanua ili na wengine wajifunze picha tu haitoshi.
  13. Z

    Naombeni ushauri: Nina miaka 25, lakini karibia kila jambo ninalofanya linaishia kufeli

    Pole sana mkuu,ila hiyo hali inawakuta watu wengi sana cha kufanya, -Mshukuru mungu kwa uzima ata kama unapitia magum kiasi gan. -Unapo anzisha mradi au biashara yeyote ile usitegeme faida yeyote ifanye kama unajitolea baada ya miezi kazaa utaaza kuona faida -Kuwa na subira nayo mhimu vilevile...
Back
Top Bottom