Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Tako la nyani yamekuwa mengi sana vitz ist mpaka yamekuwa kero roads azipendezi tena una weza fikili ni msafara wa harusi
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.Tako la nyani yamekuwa mengi sana vitz ist mpaka yamekuwa kero roads azipendezi tena una weza fikili ni msafara wa harusi
Sio zote ....Toyo sawa, range, Porsche....Amazon..Kuna zile hakuna kuiganaTako la nyani yamekuwa mengi sana vitz ist mpaka yamekuwa kero roads azipendezi tena una weza fikili ni msafara wa harusi
Sio zote ....Toyo sawa, range, Porsche....Amazon..Kuna zile hakuna kuigana
Bei gan kwa sasa mkuu?Hilo tako la nyani wajapan wameshusha bei mpaka aibu
Gari SUV bei almost the same na IST
We nenda kanunue gari la peke yako uanze kuhangaika spares
2mil sidhaniTatizo hela mzee, sasa hivi gari 2mil unapata gari, na ndiyo hizo ist vitz unaona zimejazana mtaani.