Recent content by Zinduna

  1. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya kustaajabisha duniani

    Ilishaletwa hapa. Uwe unatoa compeliment unaporudia thread ya mtu... Mila na desturi za makabila mbalimbali hapa duniani katika shughuli za mazishi MODS: Unganisheni huu uzi please.
  2. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilivyoingia sukari Ilikuwa Sh. 5,000/- sasa hivi imeshuka na itaendelea kushuka

    Nyie mmechanganya alikuwa anazungumzia Icing Sugar ya kutengenezea keki za besidei
  3. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Al badil haijatoa majibu hadi sasa, wanaohusishwa kupigwa risasi Lissu ni siasa?

    Kama hujui kwa taarifa yako kinachomtesa Mrema hadi sasa ni ile Hallal Badr aliyosomewa na waislamu wa Mwembechai. Kama ilisomwa kweli subiri majibu yake mubashara
  4. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Pale mwanaume anaposahau kununua kitendea kazi...!

  5. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Vijana wa nchi ile wameamua kula Bata Politiki tupa kule...!

    Chezea Muzee ya Murahoooo
  6. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Vijana wa nchi ile wameamua kula Bata Politiki tupa kule...!

  7. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Duma tours ni matapeli?

    Halafu unatujazia server kwa kufungua uzi kisa elfu kumi...!
  8. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Duma tours ni matapeli?

    Sasa unataka usaidiweje? Hivi ni lini mara yako ya mwisho kutoa sadaka?
  9. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natongozwa na mpangaji mwenzangu

    Ndiyo maana Manabii walioa wake wengi nyie mnabania tutabanana tu.
  10. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wapanda kwa asilimia 1.4

    Tulinganishe kati ya awamu ya nne na ya tano bei ya bidhaa muhimu z vyakula zimepanda kwa kiasi gani? Je hali ikoje eneo unaloishi kuhusiana na kupanda kwa gharama za maisha? Je zinaendana na ukuaji wa uchumi?
  11. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume bahili wa kazi gani?

    Halafu wao wanapolalamika utadhani huyu mwanamke amekaa tu akisubiri aletewe kila kitu. Mwanamke kwa upande wake ana wajibu wa kujitafutia kipato kwa ajili ya mambo yake mengine lakini linapokuja swala la kuwa na mpenzi, yale mambo yanayohusu mwili wake na starehe zake ni jukumu la mwanaume. Na...
  12. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume bahili wa kazi gani?

    Wape wape shostito waache ubahili, hata Bi Chau anawaambie kila siku waache ubahili
  13. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume bahili wa kazi gani?

    Mababu zetu walikuwa wanahonga sana labda kushinda wakati wowote kwa sababu walikuwa wanajitoa mpaka kuhatarisha maisha yao ili kuhakikisha mpenzi wake yuko salama na ana furaha. Kuhonga wakati huo kulikuwa na maana ya mwanaume kuwa na uwezo wa kumfanya Mwanamke ajihisi salama kwa kuhakikishiwa...
  14. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambuzi miye: Maswahibu yaliyonikuta wiki iliyopita

    Hivi Hili Zee Asprin liko wapi siku hizi maana hata pale Hisaje silionagi kama zamani
  15. Zinduna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambuzi miye: Maswahibu yaliyonikuta wiki iliyopita

    Kumbe Mzee Mtambuzi ulishawahi kufumaniwa... Pole mwaya.
Back
Top Bottom