Mwanaume bahili wa kazi gani?

Mwanaume bahili wa kazi gani?

Upendo ni muhimu katika
mahusiano, lakini
mwanaume kuwa na
fedha hufanya mapenzi
kuwa na mvuto zaidi.
Mwanaume ni lazima
awe na fedha kwa ajili ya
kumnunulia mpenzi wake
zawadi mara kwa mara
siyo leo amemnunulia
mpenzi wake kijizawadi
ndiyo asubiri mwakani

zinduna ni kama umelogwa asee

utaolewa na shetani ukiwa na akili hizo
 
Unaona sasa ulivyo kichaa hamna kitu hasara km kuoa mwanamke mbinafsi unataka kupewa hela lkn mpenzi wako akifulia ht sh kumi hutaki kutoa ...sio karne hii kwa kweli mtalalwa mpaka k. Zipate moto ila ndoa hamna mpk mjue maisha magumu na mapenzi kusaidiana yaan na mnavyozidi kua wajinga wajinga ndo na jinsi wanaume wanavyozidi kujua hamna umuhimu wa kumuhudumia mwanamke wa barabarani mbinafsi zaid mtagongwa leo ,kesho na keshokutwa.....na uwaga wajanja humu tu ila mtaani mbona mtunawalala bureèeeee na mkiomba hela tunawapotezea ..
We jamaa ni noma.
Wanadanganyana humu, mtaani wanaliwa halafu nduki, hurudiwi tena ukishaonekana demu wa mizinga
 
View attachment 502106

View attachment 502107

Upendo ni muhimu katika mahusiano, lakini mwanaume kuwa na fedha hufanya mapenzi kuwa na mvuto zaidi. Mwanaume ni lazima awe na fedha kwa ajili ya kumnunulia mpenzi wake zawadi mara kwa mara siyo leo amemnunulia mpenzi wake kijizawadi ndiyo asubiri mwakani, lakini pia kumtoa mpenzi wake out au kuwa na mitoko ya mara kwa mara ni muhimu achilia mbali kuwa na kawaida ya kumtumia mpenzi wake fedha za matumizi mbalimbali na pia muda wa maongezi kwenye simu yake yote haya ni muhimu kwa mwanaume kumhudumia mpenzi wake.

Mambo haya yanatakiwa kufanywa na mwanaume bila kusubiri kuombwa na mwanamke maana si kila mwanamke anajua kuomba omba lazima mwanaume ajue wajibu wake wa kumhudumia mpenzi wake badala ya kusubiri mpaka aombwe. Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume atakayemudu kumhudumia kwa kila kitu hapo ndipo mapenzi yanapokolea na mwanamke kujitoa kwa mwenzi wake na kuhakikisha anampa raha wakati wote.

Huu ujumbe hauna maana ya kuwananga na kuwatweza wanaume wasio na fedha, la hasha, najua kutokuwa na fedha ni suala la muda tu lakini pale utakapojaaliwa hata kidogo jitoe kwa kumpa mwenzi wako fedha na kumnunulia vijizawadi vidogo vidogo na yeye anaiona hali yako atakuheshimu.

Kuna ile mijanadume ambayo ina fedha lakini mibahili ka nini, hiyo ndiyo uzi huu unawahusu sana. Jamanieeee Wanaume msiwe wabahili kuwahudumia wapenzi wenu kwani ubahili utawafanya kila mwanamke awakimbie na mwisho wa siku utaishia kuitwa shemeji

Kwa wanawake wenzangu. Kamwe tena naomba kusisitiza, Kamwe usijitie kiherehere kumhudumia mwanaume, kumbuka fedha zako zikiisha atakutosa na kutafuta mwanamke mwingine.

Ni ushauri wangu wa bure

CC: charminglady, Nifah, Miss Natafuta, snowhite, BADILI TABIA, gfsonwin, King'asti, Super women 2,
vyako.ndo maana katafuta unataka uteleze tu
 
Ni muhimu kwa mwanaume kumhudumia "mke wake"
 
Unawapotosha wenzio. Dunia ya sasa tunaongelea usawa wa kijinsia. Na wanaume wanaowanunua hawawezi kuwaheshimu kamwe maana anajua wewe ni sawa na kitu chake kingine chochote alichonacho kwani amevipata kwa kutumia fedha zake kama wewe.
wanawake wanatakiwa kuwa imara na kuwa na fedha zao
Hii ya kutegemea pussy tu kwenye mahusiano ni mbaya sana. Hata kasupplies ka leso ya 500 hamna? ndoo maana mnagongwa na vibabu vya miaka 70+ kisha mnataka hela.
Mwanamke akiwa na pesa ataweza changua mtu wa kutoka nae. Pussy pekee haitoshi kudumisha mahusiano.

When there is beauty without brain, it's the private part that suffer.
 
Mbinu ya utajiri ni UBAHILI

Sijazaliwa BANK nikuhonge hela kila saa

Hela haziokotwi, kwa hiyo nikikupa hela yangu iheshimu sana, hujui nimefanya mangapi..nimekwepa mangapi hadi nakupa Pesa...Ifike mahala Pesa iheshimiwe..

Ukipenda kupokea na upende kutoa pia!
Wanawake hawanaga cha kutoa zaidi ya papuchi
 
View attachment 502106

View attachment 502107

Upendo ni muhimu katika mahusiano, lakini mwanaume kuwa na fedha hufanya mapenzi kuwa na mvuto zaidi. Mwanaume ni lazima awe na fedha kwa ajili ya kumnunulia mpenzi wake zawadi mara kwa mara siyo leo amemnunulia mpenzi wake kijizawadi ndiyo asubiri mwakani, lakini pia kumtoa mpenzi wake out au kuwa na mitoko ya mara kwa mara ni muhimu achilia mbali kuwa na kawaida ya kumtumia mpenzi wake fedha za matumizi mbalimbali na pia muda wa maongezi kwenye simu yake yote haya ni muhimu kwa mwanaume kumhudumia mpenzi wake.

Mambo haya yanatakiwa kufanywa na mwanaume bila kusubiri kuombwa na mwanamke maana si kila mwanamke anajua kuomba omba lazima mwanaume ajue wajibu wake wa kumhudumia mpenzi wake badala ya kusubiri mpaka aombwe. Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume atakayemudu kumhudumia kwa kila kitu hapo ndipo mapenzi yanapokolea na mwanamke kujitoa kwa mwenzi wake na kuhakikisha anampa raha wakati wote.

Huu ujumbe hauna maana ya kuwananga na kuwatweza wanaume wasio na fedha, la hasha, najua kutokuwa na fedha ni suala la muda tu lakini pale utakapojaaliwa hata kidogo jitoe kwa kumpa mwenzi wako fedha na kumnunulia vijizawadi vidogo vidogo na yeye anaiona hali yako atakuheshimu.

Kuna ile mijanadume ambayo ina fedha lakini mibahili ka nini, hiyo ndiyo uzi huu unawahusu sana. Jamanieeee Wanaume msiwe wabahili kuwahudumia wapenzi wenu kwani ubahili utawafanya kila mwanamke awakimbie na mwisho wa siku utaishia kuitwa shemeji

Kwa wanawake wenzangu. Kamwe tena naomba kusisitiza, Kamwe usijitie kiherehere kumhudumia mwanaume, kumbuka fedha zako zikiisha atakutosa na kutafuta mwanamke mwingine.

Ni ushauri wangu wa bure

CC: charminglady, Nifah, Miss Natafuta, snowhite, BADILI TABIA, gfsonwin, King'asti, Super women 2,
Kabisa umenena vyema
 
Hapa ndio wazo la kuoa linaponiondokaga kabisa katika ubongo wangu
Pesa ipi unazungumzia ya kutoka out,ya mtoko hizo mbona kila mwenye mke anaweza
Au unazungumzia pesa za kuhongwa?
Kweli una mume au ndo bado unamtafta mwenye hela?
Je huyo ukimpata na akaja ishiwa hela si utamhana kwenda kwa mwenye nazo?
Je huo mwili wako utachezewa na wanaume wangapi?
Utazini mara ngapi

Hii huchangiwa pia na mafunzo madogo ya imani zetu.sizani kama kuna mabinti wa kiislamu wanamkataa mtu kisa hana hela maana kufanyiwa nusra ni ibada kubwa anajua anaetoa riziki ni mungu hawezi waza ivo labda mwislam jina
Acha mjae tu mitaani kutoolewa hamna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kichangudoa kikiuliza mwanaume bahili wa kazi gani, wife material anauliza atampata lini [emoji23]
 
Wanawake badilikeni la sivyo mtachezea bakora za chini mpaka njegere zenu zibadilike rangi
Wewe kama huwezi kuhonga achia ngazi wanaoweza wa take over. Kama ela yako ya ngama Hata usijitie mabavu kukataa Hapa,wenye ela zao sio wasumbufu kutoa,watawapa wapenzi wao
 
Wewe kama huwezi kujonga achia ngazi wanaoweza wa take over. Kama ela yako ya ngama Hata usijitie mabavu kukataa Hapa,wenye ela zao sio wasumbufu kutoa,watawapa wapenzi wao
Kwa kweli
 
Hivi mama zetu waliwapendea baba zetu pesa?

Mababu zetu walikuwa wanahonga sana labda kushinda wakati wowote kwa sababu walikuwa wanajitoa mpaka kuhatarisha maisha yao ili kuhakikisha mpenzi wake yuko salama na ana furaha.

Kuhonga wakati huo kulikuwa na maana ya mwanaume kuwa na uwezo wa kumfanya Mwanamke ajihisi salama kwa kuhakikishiwa chakula, malazi, mavazi na afya. Kwa maana hiyo, fedha ambayo ndiyo inayotumika hivi sasa katika kupata huduma hizo ndicho chombo kinachotufanya kuamini kwamba mwanaume kuwa na fedha inamaanisha tuko salama. Kwani huduma zote muhimu kwa mwanamke zinapatikana kwa urahisi pale mwanaume anapokuwa na fedha.

Kwa hiyo mwanaume mwenye fedha anaonekana kama ndiye anayeweza kumlinda mwanamke. Ukikuta wanawake wanavutiwa na wanaume wenye fedha, usishangae, kwani bado wanafuata kile ambacho kilikuwa kinafanyika miaka dahari iliyopita. Nawashangaa hapa wanaume mnavyotokwa na povu. waulizeni mababu zenu ambao walikuwa wanapigana na kutiana ngeu kwa kumgombea mwanamke wakati huo na mshindi alikuwa anaonekana ni shujaa ambaye ana uwezo wa kwenda kuwinda na kuleta kitoweo nyumbani au kulima hekta kadhaa za mazao na mwanamke akawa na uhakika wa chakula na kuhakikishiwa usalama wake.

Kila kitu siku hizi ni pesa na ndio maana wanawake kwa dhana ile ile ya kujihakikishia usalama wanavutiwa na wanaume wenye fedha sio kwa sababu ya tamaa bali ni kutaka kuwa na uhakika na maisha yake na familia yake baadae, kama akikosa sifa ya fedha ataangalia mwanaume mwenye ujasiri wa kuthubutu na mchakarikaji, hapo anajua kwamba kwa kushirikiana mbeleni maisha yatakuwa mazuri na salama.

Acheni ubahili wahudumieni wapenzi wenu, sarakasi zenu kwenye huu uzi hauwezi kuondoa wajibu wenu kwa wapenzi wenu hilo ni jukumu lenu libebeni.
 
Back
Top Bottom