Mwanaume bahili wa kazi gani?

Mwanaume bahili wa kazi gani?

Wewe kama huwezi kuhonga achia ngazi wanaoweza wa take over. Kama ela yako ya ngama Hata usijitie mabavu kukataa Hapa,wenye ela zao sio wasumbufu kutoa,watawapa wapenzi wao
Wape wape shostito waache ubahili, hata Bi Chau anawaambie kila siku waache ubahili
 
Wape wape shostito waache ubahili, hata Bi Chau anawaambie kila siku waache ubahili
Mi nawashangaa wanajitia mabavu kukataa,pesa madafu ela ya ngama . wao wanaume wanajua Ku care,ma handsome and wanatoa pesa zao kwa wapenzi wao without asking. Lakini hawq wenzangu na mie tia mchuzi pangu pakavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatumia nguvu Kubwa kuigeuza chumvi kuwa ubuyu. Kwendraaaaa zenu. Mnachosha wadada wa watu tu
 
Mi nawashangaa wanajitia mabavu kukataa,pesa madafu ela ya ngama . wao wanaume wanajua Ku care,ma handsome and wanatoa pesa zao kwa wapenzi wao without asking. Lakini hawa wenzangu na mie tia mchuzi pangu pakavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatumia nguvu Kubwa kuigeuza chumvi kuwa ubuyu. Kwendraaaaa zenu. Mnachosha wadada wa watu tu

Halafu wao wanapolalamika utadhani huyu mwanamke amekaa tu akisubiri aletewe kila kitu. Mwanamke kwa upande wake ana wajibu wa kujitafutia kipato kwa ajili ya mambo yake mengine lakini linapokuja swala la kuwa na mpenzi, yale mambo yanayohusu mwili wake na starehe zake ni jukumu la mwanaume. Na ndiyo maana mnaambiwa kitunze kidumu, ukishindwa watakusaidia wenzio ilimradi usije ukafa kwa presha ya wivu.

Kuna wanaume wanajua kuhonga bwana tena wapo wengi tu humu na ndiyo maana huwaoni humu wakitoa mapovu wametulia wanawacheka nyie wachache mnaoleta tafrani.

CC: Asprin
 
Halafu wao wanapolalamika utadhani huyu mwanamke amekaa tu akisubiri aletewe kila kitu. Mwanamke kwa upande wake ana wajibu wa kujitafutia kipato kwa ajili ya mambo yake mengine lakini linapokuja swala la kuwa na mpenzi, yale mambo yanayohusu mwili wake na starehe zake ni jukumu la mwanaume. Na ndiyo maana mnaambiwa kitunze kidumu, ukishindwa watakusaidia wenzio ilimradi usije ukafa kwa presha ya wivu.

Kuna wanaume wanajua kuhonga bwana tena wapo wengi tu humu na ndiyo maana huwaoni humu wakitoa mapovu wametulia wanawacheka nyie wachache mnaoleta tafrani.

CC: Asprin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifnya nicheke kwa sauti jamani. Eti wapo wengi humu kila wachache wanaleta tafrani. Hao Ndio wale utasiki babe umependeza,hajui hata ela ya kusukia umeitoa wapi. Ndio tushawapa ukweli wao. Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
 
Mababu zetu walikuwa wanahonga sana labda kushinda wakati wowote kwa sababu walikuwa wanajitoa mpaka kuhatarisha maisha yao ili kuhakikisha mpenzi wake yuko salama na ana furaha.

Kuhonga wakati huo kulikuwa na maana ya mwanaume kuwa na uwezo wa kumfanya Mwanamke ajihisi salama kwa kuhakikishiwa chakula, malazi, mavazi na afya. Kwa maana hiyo, fedha ambayo ndiyo inayotumika hivi sasa katika kupata huduma hizo ndicho chombo kinachotufanya kuamini kwamba mwanaume kuwa na fedha inamaanisha tuko salama. Kwani huduma zote muhimu kwa mwanamke zinapatikana kwa urahisi pale mwanaume anapokuwa na fedha.

Kwa hiyo mwanaume mwenye fedha anaonekana kama ndiye anayeweza kumlinda mwanamke. Ukikuta wanawake wanavutiwa na wanaume wenye fedha, usishangae, kwani bado wanafuata kile ambacho kilikuwa kinafanyika miaka dahari iliyopita. Nawashangaa hapa wanaume mnavyotokwa na povu. waulizeni mababu zenu ambao walikuwa wanapigana na kutiana ngeu kwa kumgombea mwanamke wakati huo na mshindi alikuwa anaonekana ni shujaa ambaye ana uwezo wa kwenda kuwinda na kuleta kitoweo nyumbani au kulima hekta kadhaa za mazao na mwanamke akawa na uhakika wa chakula na kuhakikishiwa usalama wake.

Kila kitu siku hizi ni pesa na ndio maana wanawake kwa dhana ile ile ya kujihakikishia usalama wanavutiwa na wanaume wenye fedha sio kwa sababu ya tamaa bali ni kutaka kuwa na uhakika na maisha yake na familia yake baadae, kama akikosa sifa ya fedha ataangalia mwanaume mwenye ujasiri wa kuthubutu na mchakarikaji, hapo anajua kwamba kwa kushirikiana mbeleni maisha yatakuwa mazuri na salama.

Acheni ubahili wahudumieni wapenzi wenu, sarakasi zenu kwenye huu uzi hauwezi kuondoa wajibu wenu kwa wapenzi wenu hilo ni jukumu lenu libebeni.
Naam umesema kweli mababu zetu walikuwa wakigombania mabibi zetu walikuwa wamefundwa wakafundika
Walikuwa huwezi kuwaona wakitembea ovyo
Walikuwa huwezi kuwaona ovyo ovyo
Naam walikuwa hawaombi hela au kuhongwa kama wa siku hizi wanavojitangaza ktk mitandao kuwa wanapenda mwanaume mwenye kuhonga
Naam walikuwa wanaaibu kuongea na mwanaume sio kama wa leo macho nje nje kama mwewe kaona kuku
Walikuwa wanavaa kistarabu,kwanza waliva kwa wakat mmoja chupi,kishida,sket/gauni halafu juu khanga
Wasiku hizi ni tight juu kimini tosha
Kuna tofauti eti mwanamke enzi za mabibi ndo alikuwa na thamani,alikuwa anajiheshmu kabla ya kuheshimiwa
Huku mnadai haki sawa na programe kibao zinafundishwa juu ya kuweka usawa kati ya mwanaume na mwanamke sasa na hela matumizi yawe sawa.
 
we ndo pumbaaaaa kweli
Aliyekwambia mwanamke kazi yake kutoa raha tu na kupewa vitu nani, sasa in that case kutakuwa na utofauti gani kati ya mke (mpenzi) na malaya, when it comes to new generation mapenzi si ya upande mmoja tu but its all about give and receive. acha uboya na ushamba wa mabibi zako wa 1890's
 
Hongera chaggalady, umefanya la maana sana. Wenzako wanahongwa, mwisho wanaachiwa watoto kulea.
wanajisahahu halafu ujana unapita na wazuri kila siku wanazaliwa usipojipanga uzee mbaya ubakuhusu
 
Kama mnaamin mapenz ni pesa,basi msiwe mnalia kuwa wanaume tunachepuka maana pesa ni zangu,natumia ninavyotaka...nagegeda ninayetaka
 
Ukiona hivyo hajalainishwa kwa fedha Mkuu.
Fedha ni kilainishi kizuri kwa mwanamke lakini kama mwanaume anakuwa bahili na papuchi hapati
Hpn mie nnamuudumia ila anazingua sana kukwichi labda ni tabia tuu
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke.....
Naam adui wa mwanamke ni mwanamke kwa ushauri huu mmmh! . Ni hivi mahusiano mapenzi ndoa kuna tafsiri nyingi kila mtu na uelewa wake. Pesa ni adui ni rafiki pia. Mwenzi wako ni zawadi toka kwa Mungu kwa umaskini au kipato chake ni neema kuwa naye. Ukiona mwenzi anabana jua lipo tatizo ndani ya mahusiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom