Yule alikuwa wakutolewa mapema ,hapa TZ hatuna striker kabisa ,kama ndiyo tunamtegemea kwenye national team kwa kiwango kile tunakazi kubwa sana ,alitengewa pasi safi na Didier anapiga mpira hovyo kabisa ,nafasi kama zile utakiwi kufanya makosa ,anacheza bila malengo sijui hafuati malekezo ya...