Wapi kuna taarab leo Jumatano?

Hata wikendi haijafika mnajirusha,,,,,!!
Totoz ndo zinapeleka watu huko kwenye rusha roho na mipasho wewe unafikiri wanafuata starehe ya mwambao?! la hasha, yaani ni totozi kwa kwenda mbele huko kwa ninavyosikia au ngoja niwe muwazi tu kifupi ufuska

Kwahyo usishangae mkuu anaenda tafuta mrembo
 
Back
Top Bottom