Mbatia aiteka Vunjo

Mbatia aiteka Vunjo

mbatia unataka kumaliza uhai wa baba lyatonga, lakini ni muhimu kumtoa huyu mzee tupate wapinzani wa kweli!
 
Mie naona lyatonga,apumzike kuliongoza jimbo hilo,maana kazi ya upizanzani kashindwa,awache wezie wanao weza kujenga hoja za kuikosoa selikali inapo kosea .lakini kwa kusifia anako sifia lyatonga hata katika mambo ya ajabu niaibu kujiita mpizani.wana vunjo njia nyeupe kumpokea mbatia,ili awe kipaza sauti chenu pale mjengoni(dodoma)
 
CCR1.JPG


CCR3.JPG


Mwenyekiti wa NCCR Mh James Mbatia leo amehutubia umati wa wana Jimbo la Vunjo.

Kuna kila dalili za kun'goka kwa Lyatonga.

Jamani naomba mnisaidie utambuzi wa registration ya hilo gari. Mbona plate number inaonyesha gari hilo ni la taasisi ya kimataifa au mimi ndo sielewi? Na kama ni la taasisi, iweje liingie kwenye politics?
 
Nzee wa Kiraracha upooooo? Sema tukusikie nji yako hii, usipandishe kisukari hayo ni malipo ya usaliti kwa watu wanaokuheshimu njini. Natoa siku 7 ujibu mapigo



Ha ha ha ha. ..Siku 7 tuuu.....
 
JAMANI MREMA,MREMAAA HAHH MREMAA MREMAAA AA MREMA,Wengine wanalalamika eti, Mrema kawaingilia, wengine wanasema Mrema kavuka mipaka, ni mipaka gani hiyo ndani ya nchi? Ni mipaka gani hiyo?
 
Mbona kama watu wanumwa kwa kumwona huyu bwana au wana issue wanaijua juu yake
 
Mwenyekiti wa NCCR Mh James Mbatia leo amehutubia umati wa wana Jimbo la Vunjo.

Kuna kila dalili za kun'goka kwa Lyatonga.
Naomba kujua uhalali wa hilo gari aliloingia nalo ...au ni la yule dada yake mbunge wa east africa? Kingine kimeniacha hoi ni hao mabaunsa wake ... wameiga kwa mbowe ... mbwembwe tupu ... but kiukweli bado sina imani sana na mh. huyo kama ni kweli ni mpinzani ama? i am sorry for that.
 
Namba za gari lililombeba Mbunge wa Vunjo Bw.Mbatia (NCCR) zimenishangaza kidogo!

DSC01012.JPG
 
Number za East Africa Community hizo acheni ushamba.NCCR ina mbunge EA ambaye ni ndugu yake Mbatia jina limenitoka lakini ni Mwl wa UDSM.
 
Labda ni Namba za tiss


mbatia acha kuigiza filam , au unatuona watanzania mbumbu sana eee, hao watu uliowaweka wamedandia gari kwa pembeni wanalinda nini km sio maigizo au unatengeneza filam, unawalipa bure nafuu hizo hela ungefanya kitu cha maana ungepata publicity kuliko unavyofanya maigizo hapo
 
Sasa hivi Mbatia anapiga mechi za mchangani baada ya kudanganyiwa ukawa, kaiua NCCR kabakia na ubunge tu, umaarufu wake unategemea kesi kama ile ya mrema ,amshukuru sana mrema kufungua ile kesi maana bila yeye tusingemsikia tena.
 
Kama hujui basi naibu waziri wako wa afya nae 2001 aliongoza mgomo wa Madaktari, tena ni mwanaCCM mwenzako! so hilo suala la mgomo ona aibu kulizungumzia hapa poyoyo wewe. Ukiwa mjinga uwe na kumbukumbu.
Za kawaida tu hazina shida
 
Back
Top Bottom