Nimekerwa na kilichonitokea baada ya police kusimamisha na kudai nimepitaa taa nyekundu Waikati ilikuwa ni kijani. Kama police wanaweza kutunga vitu Kama hivi kupata pesa,kweli watashindwa kukupa kesi ya mauaji. Unalipishwa faini ukubwa Kwa kosa hujalifanya. Tunajua kazi Ngumu lakini sio kutumia cheo kupata hela za wasio na kosa.
Kuweni makini madereva mkipita maeneo Yale.
Kuweni makini madereva mkipita maeneo Yale.