Usilazimishe kuwa nae karibu au kufanya nae chochote....ana tatizo la huyo...trust me baade litamuisha hilo tatizo the she will come back...but unaeza fanya hivyo only and only if you real love her....!!tatizo lake huwez lijua mpka akubali kuwa muwazi ndo utapata solution
Mkuu kabla haujamiliza chuo ulikuwa na gari na kampuni....mtaji wa kuanzisha kampuni na kununua gari ulitoka mfukoni mwako au support ya family??
Mtoa mada kasema vitu vya kwako si support (kupewa mtaji) au vya kurithi...hapa tunazungua wale waliostruggle wenyewe tu hao wengne ni out of this
Kuna mtunamjua (family frnd) mshahara wa lak 9 na bonus over lak 3....so kwa mwezi hakosi 1.3 mpk 1.5 lakini duuh...anaishi kishua sana...ndani mwake ana kitanda na godoro,friji,flat screena na iphone 6plus...so inategemea na akili ya mtu
Mtoa mada fanya research ndo uandike...Mwanza hakuna chuo kimoja mkuu...kuna BUGANDO chuo cha afya,SAUTI,IFM mwanza branch,MZUMBE mwanza branch na CBE, pia kuna UCC!!!....isitoshe huko kugraduate msukuma peke yako may be chuo chenu...acha kuropoka mkuu....!!masuala ya Gwajima na Makonda...
Acha dharau kwenye imani za waty aisee...utaishia kubaya....!!kama unaona Mungu wao si wa kweli kaa kimya kuliko kumdhihaki...by the way haujui na hauna uhakika yupi ni Mungu wa kweli kati ya MUngu wao na wako...
Kati ya wana jf wasiotumia akili ni wewe...kwahiyo watu wasimseme kama kagushi vyeti???..wafanyakazi wa umma wasilalamike kukatwa asimilia 15 ya mshahara??...eti hayo yote kisa makonda...umeandika upuuzi sanaa mukuu
harafu huyu jamaa mwenye huu uzi alianza na uzi mwingine anasema Mchungaji Gwajima kasema uongo hakuna cheti ya division zero.....huyu ni kada wa Daudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.