Baba yangu huwa ananibaka

Baba yangu huwa ananibaka

Kitendo cha kufungua thread ya uongo tena iliyojaa ukali na attention kiasi hichi inaonesha wazi tabia yako ni mbaya na inaonesha unataka baba ako akule. Jinga kabisa
 
Kama story zako zote za kutunga zko hv inatilia shaka jinsi gani unakitumia kiungo chako cha mijaamiano....
 
Haya maneno uliyoandika hapa mtumie mama yako;
Na kama ni kweli naona dalili ya wewe kujinyonga
huyo baba yako ni shetani;
Umepoteza muda wako bure kutype ushauri kwenye story ya kutunga.huyu DOGO kalaniwa. Pitia threads zake za nyuma utamgundua ni mtu wa namna gani
 
Nimesoma thread zota alizoanzisha huyu mtoto, nina uhakika 99% huyu mtoto atakuwa kabakwa.
Ukifuatilia mtiririko wa thread zake toka mwaka juzi..
Sina shaka na hili lililotokea
 
Kamwambie kiongoz wako wa dini au iman yeye atatafuta namna atavom aproach huyo mbakaji......
 
Pole sana! Wababa wa siki izi wamekosa haya! Ata kama ni baba wa kambo, anachokufanyia ni ushetani. Ukikaa kimya ataendelea kukutesa. Mwambie mama yako, na asilimia kubwa ni kwamba mama hatokuamini. Hasipokupa ushirikiano mama nenda ustawi wa jamii kamripoti huyo mchawi!
Pole sana mamy! Mungu ndo mtetezi wako, mweleze matatizo yako. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mwambie mama kama mama hatotoa maamuzi mazuri wapo ustawi wa jamii kumbuka kuwa siku zote mficha maradhi kifo humuumbua
 
Pole sana. Inabidi useme maana unapokaa kimya hvyo inaonyesha unafurahia hyo hali. Alafu hebu weka picha ya huyo mzee hapa tumuone
 
Ndiye yeye huyu baadhi ya threads zake ziko very questionable. Sijui kama alichoandika kina ukweli.
Mie mwandiko wake tu umenifanya ht nikose attention na huu Uzi wake.
 
ww si mtoto wake muulize mama yako baba ndo yupi mzee kashasanuka kuwa analelea MTT Wa mtu kwahio ww utakuwa mke Wa Pili
 
mmh yaani mambo kama haya ndio yanayonifanyaga nakuwa sio mwl tena.
ukisoma mabandiko yake ya nyuma its like baba yake alianza kumtafuta huyu binti kimapenzi thru hizo text alizokuwa anakosea kumtumia. istoshe huyu nadhani ni mtoto mdogo sana ambaye na mwenyewe akili yake haina akili.

huyu binti yuko desperate ana anahitaji msaada wa kisaikolojia. aende kwa washsauri nasaha ili akapate msaada.
ila kama umebakwa na baba yako jua hiyo dhambi na itakutafuna unless umetubu sana
 
mara ya kwnza christmas alikua amelewa amerud nyumban ucku akanfata chumban akanfanyia kwa lazma mama hakuepo nlibak na wadogo zng, aliponfanyia ivo akawa anakimbia km akibaki nyumban anabaki room antoka kdogo anarud room alporud mama akawa anaendelea kukimbia atoki room km akiwa nyumban. mi nkamwambia mama nataka nhamie hostel niwe narud nyumban holidays na cku 1 weekend mama alkubal baba akakataa nkanyamaza ckumwambia mama. aendagi kazin j2 jana ameenda amesahau files nymban amemwambia mama nmpelekee nmefka amenkamata kwa nguvu akanbaka tena leo asubuh ametupeleka shule km aktupeleka shule ananza kunshusha mm alafu anawapeleka wadogo zng leo ameanza kuwashusha wao alafu akanpeleka mm ameongea nicmwambie mama au m2 mwngne nkiwa nashuka ananiambia nimkiss mdomo nataka nimwambie mama naogopa nkikaa nicmwambie atanfanya tena nmeanza kumuogopa hta nkickia saut yk na naogopa kumwambia mama ntaman npotee niende mbal lakn cwez
We kumbe ni mwongo e,story zako ni za kutunga...kuna nyngne nmeiona unalalamika baba yako anaku2mia text za mapenz akdhan anam2mia mama yako ila unaogopa kusema
 
Back
Top Bottom