Recent content by ziloi

  1. ziloi

    Hivi kuna dawa ya kuacha kukoroma wakati wa kulala?

    Nilikuwa na hili tatzo pia! Ila all in all mara nyingi ni nyama za pua. Nenda kitengo cha ENT hospital kubwa watakupa majibu sahihi kama ni ugonjwa au kilema chako
  2. ziloi

    Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

    Watu wengi wamempinga mleta maada sababu hawakutaka kushughurisha akili zao. Kiukweli kujenga nyumba while bado huna sehemu ya kukuingizia kipato, mfano biashara ni uoga wa maisha. Hili nilikuja kulielewa tayari nimeshachelewa acha tuishi humo humo. Ila kumbuka nyumba ya kuishi si Assets...
  3. ziloi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asimilia kubwa utumishi wapo fair sana. Kasoro na makando kando hayawezi kukosa ila ukweli wengi tumepata kupitia utumishi bila wakala. Wote wenye imani tofauti hebu jaribuni kitu kimoja. Mnapoona nafasi zimetangazwa anza kusoma kabla hata hawajaita written. Mimi nilifanyaga hivo nilipoomba tu...
  4. ziloi

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Hii story nilisoma kwa kuruka ruka baadhi ya maneno ili niwahi maliza kusoma nilale, ila cha ajabu imenifanya niweweseke sana usiku. Shenz* kabisa
  5. ziloi

    Bima ya afya!??

    Shule bado.
  6. ziloi

    Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Makusanyo duni. Kundi kubwa la wanufaika bado wanatanga tanga mtaani Either Serikali ili Refund mfuko OR kutoa ajira mpya Bodi wapate Client wengi kuongeza makusanyo.
  7. ziloi

    Nihudhurie usaili upi kati ya hizi mbili?

    Duh hii siyo kejeli mkuu, hebu soma vzr utaelew. Why tunapenda lugha laini laini tu ruhusu kielew even kwa ugumu aliokupa. Mie nmemwelewa haswaa
  8. ziloi

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Tumia omoprazole miezi 3, nusu saa before ya kula au baada ya kula. Kula kwa wakati epuka kula vyakula vyenye acid na fanya mazoezi. Unapopata muda kula sana kabichi ya kuchemsha plus bamia au juice yake. Siyo daktari ila ni ushauri tu niliozingatia kutoka kwa doktar mmoja ivi nje ya tiba...
  9. ziloi

    TANZIA Ajali yaua 5 na kujeruhi 36 Shinyanga

    Alhmdllh mpwa wangu kanusurika. Madereva muda mwingine huwa wanajisahau sana.
  10. ziloi

    Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Shukuru Mungu bado unamwona hata kama yupo kwenye hali hiyo. Hakika akiondoka utamkumbuka sana. 3 month unalalamika wengine tuliuguza 5 years anafanyiwa kila kitu
  11. ziloi

    Halotel huduma zenu mbovu sana

    Mie nikiweka tu pesa halopesa na kifurushi cha internet kinakata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. ziloi

    Mwanaume amekutwa live ana cheat na bado haja tusi nyumbani siku ya tatu

    Binafsi bado nipo mkoani. Duniani wawili wawili.
  13. ziloi

    Lodge au Hotel Dar es salaam

    BML Hotel magomeni - 40,000 na kuendelea
  14. ziloi

    Nimepata scholarship, serikali inaweza kunisaidia?

    Mkuu mbona hiyo ndo Ada yenyew. Kwa nini usisome hapa nchini tu mfano; mzumbe ni Tshs 4,700,000. Maana serikali siyo rahisi kukupa scholarship.
Back
Top Bottom