Recent content by Zillionaire_tz

  1. Zillionaire_tz

    Computer4Sale Naiuza Hp elitebook core i7 tsh380000

    Weka namba ya cm ....then nna 300000/=
  2. Zillionaire_tz

    INAUZWA Friji kubwa bei ya kutupwa

    Friji kubwa inauzwa,imetumika miezi 4 tu. Bei 650000/= Location Dodoma. Picha hizi apo chini #0624052205
  3. Zillionaire_tz

    Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. Zillionaire_tz

    Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Wewe mchizi wake agustino endelea basi..leo silali mpaka iishe😑
  5. Zillionaire_tz

    Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Wewe leta story kaka watu tunasubiri hapa kwa hamu,tumejifunza tutakua tunalike maana mimi nilikua nasoma tu bila hata kulike wala kucomment ila nimefatilia toka mwanzo mpka sasa nimeamua namimi kucomment😃
  6. Zillionaire_tz

    Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Habari mkuu...naomba msaada wa kisheria kwenye hili suala..👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Tulikua tuna nyumba ya kurithi,sasa tukaamua kuiuza XXXM.,july 2019...mteja tuliemuuzia hakua na cash hivyo akatuomba atulipe kwa instalments,akatoa gari yenye thamani ya 30M then akatoa na 15M cash,then akaahidi...
  7. Zillionaire_tz

    Nimefilisika jamani

    Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU. Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
  8. Zillionaire_tz

    Nauza kuku wa mayai (layers)

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
  9. Zillionaire_tz

    Nahitaji suppliers wa mayai ya kisasa

    Nipo dodoma pia, nitumie namba zako pm
  10. Zillionaire_tz

    Nahitaji suppliers wa mayai ya kisasa

    Mi ninazo, ila kwa week tray 100.…bei 6500 kwa jumla.
  11. Zillionaire_tz

    Msaada wa kisheria jinsi ya kuandaa mkataba

    Habarini wanasheria,nina pikipiki zangu nlikua nataka niwape madereva kwa mkataba,kwamba wanipe 10k kwa siku then baada ya mwaka mmoja nawaachia pikipiki. Sasa naomba kujuzwa jinsi ya kuuandaa mkataba huo ili uwe kisheria zaidi,ili unapovunjwa hatua stahiki zichukuliwe Asanteni.
  12. Zillionaire_tz

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Habari ya leo ndugu wakulima,naomba kujuzwa kuhusu kilimo hichi hasa kwa mikoa ya iringa na mbeya -upatikanaji wa mashamba na gharama za kukodi kwa ekari -gharama zake mpaka kuvuna -msimu wa kilimo icho kwa mkoa husika Asanteni.
  13. Zillionaire_tz

    Website ya udom inakwama wapi

    Week kadhaa sasa ukifungua inaload tu,department ya informatics mmekuja kulala au sio
Back
Top Bottom