Nimefilisika jamani

Pole sana ndugu ila mm ninge kuwa wewe ninge uza robo ya hao arafu ninge endelea na biashara hiyo hiyo mana watakapo anza kutaga utaanza pata hela ya kukupunguzia machungu ya maisha yote kwa yote piga goti chini mshukuru Mungu na uzidi kumtu maini yeye one day uta simama tena
 
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Kwanini usikope jamani...?

Tuliowahi kupitia huku, tunaona kuwa ipo sababu ya kuwa na chomno cha kusaidia vijana..! Kwa hasira narudi kufufua idea yangu ya kuwa na taasisi ya kusaidia graduate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Kakope bank au taasisi za fedha zinazokopesha pesa kununua chakula cha kuku uweze kumalizia siku zilizo baki.
 
Mkuu hina thamani za ndani?make wiki mbili ni chache sana, kama una vitu kama Flt Tv, Masofa, Music system, Kitanda uza upate pesa za kuwafikisha kutaga.

Make hao kuku wakianza kutaga watajirisha wap wenyewe na bado utapata pesa ya kununua vitu ulivyo uza.

Kuwauza wakiwa wamebakiza wiki hizo ni kosa kubwa sana
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu ila mm ninge kuwa wewe ninge uza robo ya hao arafu ninge endelea na biashara hiyo hiyo mana watakapo anza kutaga utaanza pata hela ya kukupunguzia machungu ya maisha yote kwa yote piga goti chini mshukuru Mungu na uzidi kumtu maini yeye one day uta simama tena
Ubarikiwe sana ushauri bora sana huu, kunawatu wanaongea hovyo kama hawana akili
 
Back
Top Bottom