Website ya udom inakwama wapi

Mkuu hio web yao ni majanga sana ukikagua huku nimalalamiko mengi sana juu yao mimi mwenyewe nilishindwa fanya maombi ya chuo kwa ya chuo kwenye system yao maana ilikuwa inaleta kivuli kwenye zile options za kuchahua
 
Jana nipo intaneti kaingia kijana anataka kupakua joining instructions 2019/2020 ikagoma,akaomba msaada kwangu ikagoma.

Mhudumu akaitwa asaidie ikakataa.

Je,hizo joining instructions zimeshawekwa mtandaoni au bado?Zinafunguka au LA?Mpaka lini zitawekwa na ili vijana wazipakue na kuzifanyia Kazi?

Wanaohusika tunaomba mrejesho ili vijana wetu waache kushinda Intaneti Kefu na kuliwa hela.
 
hawajaweka bado hata kwenye profile zetu naona bado so tuvute subra mkuu kila kitu kitakaa sawa
 
Hv Kuna udom ngapi? mbona sisi tunafanya na una login kweny account simple tu unapata details zote
Try to sign in into udom oas
 
Mimi nilitaka kuapply lakini kwenye kutoa namba ya kulipia wakafeli, ajabu nimesubmit bila kulipa elfu kumi yao maana deadline ilikuwa imefika lakini walinichagua, nilishangaa
 
Sawa kiongozi,wakiweka mje jamvini humu kutuhabarisha ili tuwape taarifa vijana wachangamkie fursa kwa sababu wengine wanaishi vijijini na mitandao kwao bado vitu vigeni.
hawajaweka bado hata kwenye profile zetu naona bado so tuvute subra mkuu kila kitu kitakaa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom