NAHITAJI SUPPLIERS WA MAYAI YA KISASA

K

ki29

Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
12
Points
45
K

ki29

Member
Joined Oct 28, 2018
12 45
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
 
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
5,084
Points
2,000
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
5,084 2,000
hujatoa no wala bei
 
N

Ndaghine

Senior Member
Joined
Mar 12, 2018
Messages
115
Points
225
N

Ndaghine

Senior Member
Joined Mar 12, 2018
115 225
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
Kama ni chini ya hzo tray huchukui?na unanunua kwa sh ngap kwa tray na usafiri ni Juu yako?
 
Mafuguli2020

Mafuguli2020

New Member
Joined
Jul 2, 2019
Messages
1
Points
20
Mafuguli2020

Mafuguli2020

New Member
Joined Jul 2, 2019
1 20
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
Unanua Shilingi ngapi kwa tray....?
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
8,084
Points
2,000
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
8,084 2,000
Weka namba hapa nimpatie mtu namba yako.

Wengine hata hawaingii huku wala hawana account.
 
jang40

jang40

Senior Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
126
Points
225
jang40

jang40

Senior Member
Joined Mar 25, 2016
126 225
Nipo Mbeya ninauwezo kwa siku tray 30 .0788871919 karibu sana.
 
Forum statistics

Threads 1,315,048
Members 505,132
Posts 31,846,361
Top