Recent content by ZeTicha

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Unalaani kitendo kipi? Cha yeye kumpiga mtu risasi na kumuua au ???
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Mzee wetu pinda alisemaga na wapigwe tu
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kuishitaki Star Times katika Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC)

    Kisheria utakwama kidogo mkuu jabukani......na utakwamia hapa "vigezo na masharti kuzingatiwa"
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

    Ni kweli jaman kuna uwezekano wa kucheza na Uganda??
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

    Bado 1-0???
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Wanapunguzwa sasa.....amina chihaba OUT:p
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Melissa amejazia mnoo, wampe tu
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    She is gorgeous and great singer.....To b honesty
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Huyo melisa na wampe tu, kajazia sanabkwakweli
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule adaiwa kuhujumu wanafunzi wa Kiislamu Bagamoyo

    Hii nchi ni ya kwetu sote, panapo ukweli na usemwe............kumjua mtu vizuri haina maana hafanyi makosa, huwezi kusemwa vibaya na kila mtu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Div one -hgl point 8

    nashukuru kaka umeliona hlo, na kwasababu humu weng waliojaa n wapuuzi, mi ndo mana naingiaga jukwaa la sheria. My take: ur interest + future career, utapata jbu la kusomea, who u want to b n future..
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

    we mujumba, u nid to thnk b4 u leap, so kwakuwa unalpwa kdogo ndo unaona kudhalilishwa?? Mfcha uzi hazai...speak and get help, kip quiet and die quietly.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kama unawafaham jiunge wanasaidia

    ndo mana mpaka sasa hana ajira huyo
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

    Jaman nisaidie na mimi, nina degree ya education, nafundsha xul ya kata, nxt year namalza Masterz ya Ed. Je mshahara n sh ngap kwa masterz? Je hata ukfanya kaz kitengo cha wizara ya elmu, stl salar itakua kama ya shulen?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

    Wadau tusaidie kdogo kwa wenye ufahamu, mshahara wa mwalimu mwenye degree ni 469200 D1, je mwenye Masterz n sh ngap?? Je hata ukfanya kazi wizaran mshahara n tofaut na shulen?
Back
Top Bottom