Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

ZeTicha

Member
Jan 20, 2012
80
2
Wadau tusaidie kdogo kwa wenye ufahamu, mshahara wa mwalimu mwenye degree ni 469200 D1, je mwenye Masterz n sh ngap??
Je hata ukfanya kazi wizaran mshahara n tofaut na shulen?
 
Anazidiwa na mlinzi wa barick? Khaa kweli tz hawathamini elimu.

ndio hvyo ulikua hujui, yani cha msingi saaana utakachoringia na kaajira kako ka serikalini hata ukiwa na PHD ni job security othrwise kimaslahi ni kizungumkuti tu huko private sectors kama barrick gold uliyoitaja watu wanagonga vinono tu na wana certificates!
 
shida yako ni kutaka watu wawadhalilishe walimu humu ndani tuu huna lolote! hiyo secular uliyoisoma si inaonyesha pia mwl mwenye elimu ya masters anapewa kiasi gani! uwe unafikiria vitu vya kupost
 
serikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye fani.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
shida yako ni kutaka watu wawadhalilishe walimu humu ndani tuu huna lolote! hiyo secular uliyoisoma si inaonyesha pia mwl mwenye elimu ya masters anapewa kiasi gani! uwe unafikiria vitu vya kupost

we mujumba, u nid to thnk b4 u leap, so kwakuwa unalpwa kdogo ndo unaona kudhalilishwa?? Mfcha uzi hazai...speak and get help, kip quiet and die quietly.
 
serikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye fani.
You are are so right man..hakuna mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia on education thing
 
we mujumba, u nid to thnk b4 u leap, so kwakuwa unalpwa kdogo ndo unaona kudhalilishwa?? Mfcha uzi hazai...speak and get help, kip quiet and die quietly.

walimu mna hasira sana jamani, anyway bajeti ijayo tutawakumbuka usijali! poleee
 
serikali haina mshahara wa
masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa
kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa
elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa
elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini
ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi
kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba
kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye
fani.

M2 wangu masters unakuwa TGTS E 1 ambapo ni kama laki 6 na ki2 makato unakula 5 au 4
For sure.
 
Daktari wa binaadamu mwenye PhD na kama unaajiriwa upya na serikali mshahara wako ni mdogo kushinda wa AMO ALIYEKUWA KAZINI Kitambo kabla wewe hujaajiriwa hawaangalii hata experience yako ya kazi kabla ya kujiunga nao na elimu yako wanaangalia madaraja yao tu.
 
M2 wangu masters unakuwa TGTS E 1 ambapo ni kama laki 6 na ki2 makato unakula 5 au 4
For sure.

Ndugu believe me or not kwa kuanzia hakuna kitu kama hicho,labda kwa aliye kazini akajiendeleza. TGTS E1 ni 618,000 ukishakatwa unakula 490,000.Karibu sana kwenye fani.
 
serikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye fani.
Excellent. Siongezi kitu hapa
 
Back
Top Bottom