Kiufundi The Cranes wako vizur kuliko sisi lakini tunayo advantage ya kuwafahamu vizuri, itakuwa ni ajabu beki yetu kusumbuliwa na Okwi na Kiiza wakati uchezaji wao tunaujua fika. Tunayo advantage ya kuwatungua bao 3 kama walivyotufanya LY.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.