naona bado upo ila wasasa hvi unastukiza sana..
tushajizoelea tu..wataunguza vya ku unguzwa!
itabidi tuishtaki jamuhuri kwa kukata bila taarifa!tushajizoelea tu..
dk 78 tz 1-0br
itabidi tuishtaki jamuhuri kwa kukata bila taarifa!
dk 4 za nyongeza
Pamoja sana mkuu...ngoja tuone tutacheza na nani robo fainali
Ndio Kwanza naingia jamani, naomba munijuze mfungaji wa goli letu ni nani?dk 78 tz 1-0br
Baada ya vijana wa Moise Katumbi kuwasili angalau tunaweza kuwa na nguvu la sivyo hali ingekuwa dhoofu.kwa spirit hiihataethiopia anakaa..