Recent content by Zero Hours

  1. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

    Canada inauhitaji mkubwa wa madereva. Mshahara $20 nakuendelea kwa saa
  2. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Kuna age mtu inafika unafanya kazi for passion not prestiage or financial benefit.
  3. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Tanzania tuna askar makini????
  4. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

    Unaenda kuuza madawa ya kulevya? Kwani hakuna visa za touring.
  5. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

    Unayemzungumzia angekuwa hai wakati huu aliyepost iyo picha angepotezwa alafu wangekuja baadaye kukanusha
  6. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Utakuwa na kibanda umiza uneamua kutema nyongo baada ya kusikia tamko
  7. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania BAJAJI ya kwanza kutengenezwa na Mtanzania "imekosa kibali'

    Hivi unajua uvumbuzi ni nini? Hapa hakuna uvumbuzi ni assembling tu. Unafikiri hizi bajaji hazipo?
  8. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

    Nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya muungano
  9. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Dah..mama anapiga kazi. Yani hata hapumziki.
  10. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

    Mama yangu anampenda mke wangu kuliko hata mimi.
  11. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

    Yani humu kumekuwa kama FB. Watu hawana hata idea ya uchumi ila wanajifanya wachumi. Ngoja nirudi tu twitter.
  12. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Ila kweli asee.... mimi nilokuwa najiuliza hiki kimbunga kunapopita kinapita kwenye visiwa mbalimbal kama ila hatukusikia maafa kwenye kisiwa hata kimoja. Inawezekana hakukuwa na kimbunga.
Back
Top Bottom