Recent content by zerdi

  1. zerdi

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

    Binge ya aina gani hyo dakitari
  2. zerdi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

    Haha pole mkuu, wake zenu wanatupenda kwel kwel kwasababu ya huduma nzur tu, acha uoga. Heshima iko pale pale.
  3. zerdi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    Hii ni kiki, acha kiki blaza
  4. zerdi

    JamiiForums Tanzania Can someone lend me 200k?

    Ni ujasiri mzuri kama kweli ww ni binti, ila kama unajaribu phishing mmmmh.
  5. zerdi

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?

    Hahahhaaa
  6. zerdi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mke niliyempa ujauzito ananitafuta anipongeze

    Hahahaha sorry kaka ila nacheka hapa aisee
  7. zerdi

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?

    Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?! Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
  8. zerdi

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kusema unachoamini, 2020 uwe hivyohivyo

    Dah copied
  9. zerdi

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

    Vumilia kaka ongea na Mr Nice stoe single mwaka huu au 20% kaka
  10. zerdi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

    Mbona video inaonekana ni 2016, hyo picha sio wamefananisha kweli
  11. zerdi

    JamiiForums Tanzania Hii Januari inaniogopesha

    Nikikumbuka urefu wa Januari 2016, nadhani January 2017 inaweza isiwe na mwisho Tena vile tumeanza na kazi siku ya sikukuu, siku ambayo hata isingekuwa sikukuu tungekua na weekend (Jumapili). Yangu macho.
  12. zerdi

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Wabongo bana...hata habari haujaisoma ushacomment shudu..noma sana
Back
Top Bottom