Unawezaje kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?

zerdi

Member
Dec 20, 2016
12
4
Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?!

Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
 
Simple. Nenda kwa sangoma na ufuate masharti bila kukosea
 
Utakuwa umesoma stori ya jamaa wa Mwanza anayeuza Mbwa na ndani ya mwezi mmoja anainiza zaidi ya millioni mbili.
 
Back
Top Bottom