Hii Januari inaniogopesha

Hii Januari inaniogopesha

zerdi

Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
12
Reaction score
4
Nikikumbuka urefu wa Januari 2016, nadhani January 2017 inaweza isiwe na mwisho

Tena vile tumeanza na kazi siku ya sikukuu, siku ambayo hata isingekuwa sikukuu tungekua na weekend (Jumapili).

Yangu macho.
 
Hili ni lalamiko au?kwa magu,serikali,mtengeneza kalenda au muumba mbingu na ardhi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom