Recent content by zenmoster

  1. zenmoster

    Ukaguzi wa vyeti sasa watinga TRA. Namba zinazidi kusomeka...

    Kweli kabisa kuna watu wamepata div 0 form six na unakuta wapo kazini kwa degree bila diploma wala hata cheti cha ualimu. Huu msako wa vyeti unapaswa uitishe cheti cha form 4, Six, diploma mpaka PhD
  2. zenmoster

    Nchi 5 ambazo Askari hawaruhusiwi kubeba silaha za moto kwenye doria

    Umekosea mzee, wana askari tena wenye mafunzo ya kijeshi
  3. zenmoster

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Kwani si ana ndoa tayari familia yake ni mkewe na watoto wake si hao wengine; so mke na watoto ndo watu wakuwaamini kwanza kabla ya wengine hao
  4. zenmoster

    Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

    Watia nia wote hawana nia ya dhati na tanzania..yetu
  5. zenmoster

    Kufuatia mgomo wa mashine,Arusha napo wafunga maduka muda huu

    Wapewe bure hizo mashine, wakigoma....kuzitumia wafutiwe lesseni; hakuna maendeleo bila kodi...watanzania tufikirie
  6. zenmoster

    Jackie cliff amuachia wosia wake martin kadinda

    Wosia gani huo! Tiririka mkuu...matatizo ya kutaka kutajirika haraka hayo yamemtokea puani.
  7. zenmoster

    hellooo!!!

    Karibu JF
  8. zenmoster

    Hello wapendwa hodi hodi

    Karibu mpaka ndani
  9. zenmoster

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    je hao wakristo wanaopiga pepa siku ya jumamosi? wanafuata biblia takatifu ama iliochakachuliwa...na mwanadamu?? maana biblia iko wazi kabisa kuhusu sabato...kama wao wameamua kufuata yale yasiokweli..shauri yao...tutazidi kuwaombea lakini...
  10. zenmoster

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    we umeona uinjinia ndo kigezo cha kumtoa mtu kwenye wadhifa wa uraisi? kwani katiba imesemaje kuhusu hili? je ni kweli mtu alie soma sheria anafaa kuwa raisi kuliko aliyesoma sayansi?
  11. zenmoster

    The best tv series of all the time

    Nyie watu hamjaangalia Game Of Thrones nini?? Mwisho wa maneno
  12. zenmoster

    Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

    kafiri ni nani? Dini gani inayofundisha chuki?? uhasama wa ndugu?? ivi najiuliza..nyie hamtaki watu wengine kwenda kwa mola??.any way ngoja nijitoe kwenye ujinga wa kudiscuss dini..maana mambo ya dini yameletwa na weupe ili watugawe kisha kututawala milele...Think Brother
  13. zenmoster

    Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

    Waziri wa elimu muislamu mbona mwamsumbua Ndalichako wakati boss wake ameridhia? Hamuelewi mfumo wa utawala???
Back
Top Bottom