Recent content by Zempugwa

  1. Z

    Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo)

    hembu funguka na audio yake
  2. Z

    Fununu za matokeo

    Wewe acha utoto presha za nin jiamin yatatoka tu.
  3. Z

    Tosamaganga Sekondari kwachafuka

    Na huo ndo uelewa wa polisi wetu.kweli nimekubali ya roma kwamba kimbilio la walioferi ni polisi na ualimu.vyombo vya habar vipo kutuhabarisha kwa nini polisi wazuie?.nazani walizuia kukumbatia uovu walionao viongozi wao
  4. Z

    Shibuda ni mbunge wa chama gani?

    sorry naomba nimtete mh shibuda hata kiduchu japo nahisi anataka kuwa kilaza.ni kwamba mim niko maswa na ni mbunge anayekubalika sana ila hakushiliki maandamano ha ya coz kafiwa na mama yake mkubwa hapa maswa.siku Dr slaa anafanya mkutano mjini maswa pia siku hiyo ndio yalikuwa mazish ya mama yake
  5. Z

    Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele.

    hakuna mramba viatu wa Dr slaa bali wew uelewa wako ni mdogo ktk kuchanganua matamushi yaliyosemwa.kwa kukusaidia alisema kwamba nanukuu amepokea taarifa kutoka mezani japo taarifa hizi hana uhakika nazo hawezi tangaza kifo cha mkuu wa mkoa rasmi na kutokana na kwamba kazi ya mora haina makosa...
  6. Z

    Chadema ndani ya Bukoba

    haihitaji tena CDM kupingwa na vilaza wa ccm
  7. Z

    Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

    na huo ndo ukweli jana alilukuwa maswa je hilo la kuhojiwa linatoka wapi?
  8. Z

    How to use JamiiForums effectively

    thank kaka tumekupata
Back
Top Bottom