Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pape, Nov 7, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  file attached
   

  Attached Files:

 2. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bajeti ya jana imenipa changamoto kubwa sana.kiukweli pato la ndani linasikitisha sana licha ya utajiri wa mkubwa wa lasilimali tulizonazo hapo ndipo nikakumbuka wakati nikiwa shule ya msingi tuliimba sana wimbo wa kuisifu nchi yetu /TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI YENYE MITO MINGI NA MABONDE YA NAF.../wimbo huu umesahaulika na sidhani kama utapendwa tena.maoni yangu mimi ni kuwa tuurejeshe wimbo huu pia walimu wa somo la historia tuwafundishe vijana wetu ukweli juu ya tulikotoka tulipo na mustakabali wa kesho wa nchi yetu na nini kifanyike/short and longterm plan1 pia tuanzishe kitu kinaitwa society teachers org...naomba kuwasilisha mada.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  etiee!
   
 4. Z

  Zempugwa Member

  #4
  Apr 21, 2013
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hembu funguka na audio yake
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  tupe audio maandishi hayo ya nn ASKed for Ban
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mbnative

  Mbnative JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  weka audio bana
   
 7. Mbnative

  Mbnative JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  jamaan msaada naomba mwenye wimbo huo tazama raman utaona nchi nzuri.naupenda sana wimbo huo lkn sijui nitaupata vp.sipo dar mwenye wimbo huo naomba auupload tuupate bse najua wengi wanaupenda.
  natanguliza shukran
   
 8. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Tanzanian National Song - YouTube
  NADHANI UTAKUWA WENYEWE MAANA PC YANGU HAITOA SAUTI
   
 9. Mbnative

  Mbnative JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  thanks mdau nitatafuta
   
 10. D

  Dangote JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wimbo wetu wa taifa la tanganyika after serikali yetu kuundwa kwenye katiba mpya!
   
 11. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #11
  Jul 5, 2013
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu huo sio wenyewe huo ni "Tanzania Tanzania". Wimbo wa "Tazama Ramani" uko tofauti sana na ni mzuri sana! Na mie natamani niusikie tena.

  "Tazama ramani utaona nchi nzuri...
  yenye mito na mabonde mengi ya nafakaaa...
  nasema kwa kinya halafu kwa kufikiriii (nadhani nimechapia hapa) ....
  nchi hiyo mashuhuru huitwa Tanzaniaaaa....
  majira yetu hayaaaa ....
  yangekuwaje sasaaaaa...
  utumwa wa nchiii Nyerere ameukomeshaaaaa...."
   
 12. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2013
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  TAZAMA RAMANI!

  1. Tazama ramani utaona nchi nzuri

  Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,

  Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,

  Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania

  Majira yetu haya, yangekuwaje sasa

  Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

  2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,

  Kila mara niwe kwako nikiburudika,

  Nakupenda sana hata nikakusitiri,

  Nitalalamika kukuacha Tanzania.

  Majira yetu haya, yangekuwaje sasa

  Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

  3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,

  Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,

  Ninakuthamini hadharani na moyoni,

  Unilinde name nikulinde hata kufa.

  Majira yetu haya, yangekuwaje sasa

  Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
   
 13. n

  ng'home Member

  #13
  Jul 5, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ahsante sana kwa wimbo huo lakn mafisadi hawaipendi Tanzania
   
 14. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2013
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,756
  Likes Received: 8,025
  Trophy Points: 280
  Nitakapokuwa rais, huu mwimbo Mpemba yeyote anayetaka kuishi Tanganyika atalazimika kuimba asubuhi na jioni. Kwaya Master atakuwa Mohamed Said, mpiga kigoma Elungata na Kakke angekuwa anacheza shoo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2013
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,756
  Likes Received: 8,025
  Trophy Points: 280
  Mmmmmwaah..Bubu Muimba Utamu....mmmmmmmwah!

  Sasa Wapemba wote wanaotaka hifadhi Tanganyika wajifunze manake nitakaposhika nchi watakuwa tabuni kama hawatajua huu wimbo, especially ubeti wa mwisho
   
 16. m

  matubara JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2013
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ongea na Kapteni Komba!
   
 17. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #17
  Jul 8, 2013
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dah! Asante sana rafiki!
   
 18. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2013
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msitari wa mwisho huwa kuna nyerere na karume,nashangaa jamaa kamuweka nyerere tu
   
 19. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Ujio wa Tanganyika Mkuu usitie shaka
  neno Karume tutalifuta ili kumuondoa
  akatajwe Nchini kwake....

  Usiniulize ni nchi gani ?
  Maana kule kwasasa lazima kutakuwa na
  Serikali hizi hapa

  1.Unguja(Hapo Wapemba watarudi kwao)
  2.Pemba(Hapo Waunguja warudi kwao)
  3.Chumbe(Mwanzoni kabla ya kufika Unguja)
  Yaani kwawaliofika znz pale ilipozama boti

  4.Kuna kisiwa pale bandarini znz
   
 20. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2013
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu ubeti wa kwanza ilikuwa ni Nyerere, wa pili ni Karume na ubeti wa tatu ni TANU
   
Loading...