Recent content by Zee la Mandandu

  1. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI MARATHON

  2. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Israel yamzuia Kardinali wa Kanisa Katoliki kufanya ibada katika Jumapili ya matawi huko Jerusalem. Wakatoliki walalamika

    Ninafikiri shehe wangu umeandika jambo hilo kwa muhemko baada ya Waislamu kula virungu na kupigwa mabomu ya machozi wakati wa Maulidi sijui idi last week. Ni sawa, kwa sasa kuna vita sio vyema kukusanyika. Mbona ni hekima ndogo tu shehe wangu?
  3. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Kwa haya mahubiri, Askofu Gwajima lazima atafutwe na chawa

    Jamaa anatafuta bifu bila sababu. Huyu amechanganyikiwa hayupo sawa kiakili na Kiroho. Jamaa keshaanguka anatafuta pa kufia. Kwanini anamtaja Samia bila sababu yoyote ile.
  4. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Nani? Atakuwa Ngungu Masandawane huyo
  5. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

    Wanakula hadi sasa. Muulize Kasie akueleze namna anavyolishwa nyama ya Mbwa pale kwenye vibanda vya CCM.
  6. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Maandamano yoyote yatakayofanyika kuanzia sasa, hakuna raia yeyote atakayepigwa hata kibao. Tunza haya maneno

    Kwahiyo shehe sharif majini naye alikuwa ni kibaka we kafiri?
  7. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Inakusaidia nini we konda? Familia yenu wote maskini alafu unasimama kuwasifia watoto wa marais. Nyangau mkubwa.
  8. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamanda Muliro hakwenda kuzuia maandamano?

    Jamaa alikuwa anatuona sisi wakazi wa Dar kama pumbu zake. Pumbavu sasa kawa ndito na kigoli tu alafu anakaribia kustaafu huyo. Tutamuwinda popote.
  9. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Baba zao walikuwa marais, Mama zao wanakula pension ya Baba zao na Malupulupu kibao na sasa watoto wabunge Alafu Wewe Mama na Baba yako wakulima maskini ambao wanalima vinyungu pale VWAWA na mtoto wao ni kondakta wa gari za vwawa kuja hapa Mbeya alafu unawasifia na kuwa chawa na shabiki wa...
  10. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Jasusi Yeriko Nyerere.

    Hahaha
  11. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

    Hatuuziwi uoga. Kwani nyie machawa mtaishi Milele. Mara baada ya kuzaliwa kinachofuata ni kifo. Tukutane barabarani.
  12. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania A deep analysis of yanga vs Silver Strikers..

    Ni sahihi kwa wachezaji wote hapo hapo kwa Dube umeeleza kwa jicho la kiufundi zaidi. Jamaa anajua kuvheza kwa nafasi na anajua kucheza nyuma ya mabeki. Ni mzuri kwa kuifungua beki ya timu pinzani pia.
  13. Zee la Mandandu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

    Nilitaka kuandika comment kama hii ila nimekuachia wewe uiandike ili uking'olewa Meno na kucha bila ganzi usitulaumu wala kutulilia humu JF. 😂😂😂😂
Back
Top Bottom