min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,230
- 127,008
Hivi wanyalu ndio wahehe?Sio mbwa hadi nyani tunakula..!!
Hivi wanyalu ndio wahehe?Sio mbwa hadi nyani tunakula..!!
Hapana. Watu wa Manyara wanaovaa miwani.Hivi wanyalu ndio wahehe?
Sahihi mkuu;Niliwahi kuuliza nikaambiwa kuna aina ya maharage wanayaita dogidogi. Hivyo sio mbwa bali ni mabean.
Hahaha!Sahihi mkuu;
Yale maharage ambayo hayajakomaa wanaita madogi.
Basi waswahili wakadhani mbwa kweli.
Wamewahi kuwa wala mbwa; tribal peer pressure imewabadilisha. Waliacha baada ya kuwa wanataniwa na kuchekwa na makabila mengine.Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani
ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
StereotypeWahehe wanakula mpaka supu ya punda
AiseeHadi sasa wanakula na wanakunywa na ulanzi vilabuni. Mjaribu huyo jamaa mwenye namba hii ni mchinjaji. Alikuwa anabadilisha mbwa kwa jogoo.
Mjaribu ulete ushuhuda. Niliishi huko miaka 2 iliyopita. 0652242163
Kwahiyo sisi wala mbwa😂😂 nimesikitika sana
Ukitoka wewe zamu yangu🤭Ntakuwa muhehe wiki ijayo 😁
Kila kabila mpo 😅Kwahiyo sisi wala mbwa😂😂 nimesikitika sana
Hii mbona balaa sasa. Nimekula sana nyama ya mbuzi pale carfonia pub mitaa ya kihesa. Makange ya mbuzi na ugali kilikua ndio chakula changu kabla ya kuanza kumwagilia moyo.Nyama ya mbwa na mbuzi zinafanana San radha, sema ya mbwa inamafuta mengi kiasi kwamba inaweza kuzima moto.
NB Sihitaji maswali!
si ulisema alipo Upo 😅Makosa ya dosho12 unaniweka na mm!
Wanakula hadi sasa. Muulize Kasie akueleze namna anavyolishwa nyama ya Mbwa pale kwenye vibanda vya CCM.Wamewahi kuwa wala mbwa; tribal peer pressure imewabadilisha. Waliacha baada ya kuwa wanataniwa na kuchekwa na makabila mengine.
Hata Wanyiramba zamani walikuwa wanakula punda. Nao tribal peer pressure iliwabadilisha!
Raha ya nyama ya Mbwa uifanye mishikaki.Nyama ya mbwa na mbuzi zinafanana San radha, sema ya mbwa inamafuta mengi kiasi kwamba inaweza kuzima moto.
NB Sihitaji maswali!
Aiseeeee! Dunia imevaa sketa, ole wako nikukute sikumoja umeipanga jikoni barabarani ukanilisha, utakuwa ndiyo mwisho wako mazima.Raha ya nyama ya Mbwa uifanye mishikaki.