Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,138
- Thread starter
- #21
Yanga, azam, singida tayari wamefuzuHakuna Timu hapo
Kuna kubwa jinga moja bado halijafuzu
Yanga, azam, singida tayari wamefuzuHakuna Timu hapo
Pamoja sana kocha wa boluUchambuzi makini mno
Doumbia ni mchezaji mzuri ila anakosa vitu vingiPamoja sana kocha wa bolu
Unamuonaje
Doumbia
Edmund
Duke
Dube
Hebu tuambie kocha unawaonaje leo?
BTW nakumbuka kiungo chako ulichopanga kwenye uzi ule kuhusu Duke na muda ila bahati mbaya muda hakumaliza mechi maoema tu alitoka
Kocha hujawahi kumpenda Doumbia na wenzake kina Kouma😂Doumbia ni mchezaji mzuri ila anakosa vitu vingi
Hana fitness
Yuko slow
Sio mzuri kwenye ku score kama Aziz ki
Kwangu Mimi huyu hawezi kuanza kwenye kikosi changu
Edmund John
Ana talent kubwa mno
Ni mdogo na anaendelea kukua na atakuwa mchezaji tishio
Duke
Ni.mchezaji ana talent kubwa kubwa
Kwangu Mimi Leo ndo man of the match
Dube
Ni mchezaji mzuri mno kimbinu
Japo sio goal getter mzuri.
Japo hao akina na Doumbia wanamwangusha hawafiki kwenye mashimo mapema
Yah Doumbia ni mzuri lakini anacheza mbali sana na goli mipira inadondoka inakuta wachezaji wachacheKocha hujawahi kumpenda Doumbia na wenzake kina Kouma😂
But to be honest mpira wa Doumbia ni mzuri ana pumzi ndogo na fitness hili tumeliona sana that's huwa hawamchezeshi mechi nzima ila atakaa sawa tu.
Edmund ni mzuri sana ila ana papara sana
Ni sahihi kwa wachezaji wote hapo hapo kwa Dube umeeleza kwa jicho la kiufundi zaidi.Doumbia ni mchezaji mzuri ila anakosa vitu vingi
Hana fitness
Yuko slow
Sio mzuri kwenye ku score kama Aziz ki
Kwangu Mimi huyu hawezi kuanza kwenye kikosi changu
Edmund John
Ana talent kubwa mno
Ni mdogo na anaendelea kukua na atakuwa mchezaji tishio
Duke
Ni.mchezaji ana talent kubwa kubwa
Kwangu Mimi Leo ndo man of the match
Dube
Ni mchezaji mzuri mno kimbinu
Japo sio goal getter mzuri.
Japo hao akina na Doumbia wanamwangusha hawafiki kwenye mashimo mapema
Ni mzuri mno kimbinu magoli mengi Kwa Sasa yanafungwa na Viungo na mawingaNi sahihi kwa wachezaji wote hapo hapo kwa Dube umeeleza kwa jicho la kiufundi zaidi.
Jamaa anajua kuvheza kwa nafasi na anajua kucheza nyuma ya mabeki. Ni mzuri kwa kuifungua beki ya timu pinzani pia.
Nimekuelewa vizuri sana Its Pancho! Analysis nzuri ingawa makolo watapinga na watasema SS wamenyimwa goli lao sijui wewe ulionaje hapo?I salute you kinsmen
Tumevuka makundi, tumeshinda
Lakini kuna namna tujipange mapema sana huko mbele pagumu sana
Dakika 45 za kwanza Yanga walionesha mchezo ambao tofauti kabisa na ule uliofanyika Malawi wiki iliyopita
1: Kulikuwa na kasi ya mchezo sana
Wachezaji hawakukaa na mali ilikuwa inaguswa tuondoke. 🔥
2: Umakini wa pasi hasa kwenda mbele
Kazi ilifanywa vyema na Duke abuya. Mo doumbia japo huyu alipoteza baadhi ya mipira sana, hana fitness nzuri. Ila ana akili ya mpira na uwezo mzuri wa kuutuma mpira anakosa kimoja tu ni fitness yake
3: Uzuiaji wa counter attacks ulikuwa mzuri
Duke abuya, dickson Job, bacca walifanya kazi vizuri sana huku Dube na wenzie mbele wakipress sana.
4: Kushinda mipambano yao uwanjani
Silver Strikers wanapenda kugongana sana hili yanga walilijua na walikuja wamejipanga.
Silver Strikers uzuiaji wao wa 4-4-2 bila mpira , ilikuwa ni suala la Job , Bacca na Diarra watafanikiwa vipi kuwatafuta na kuwapata viungo wao wawili wa kati ( Abuya & Mudathir / Maxi )
ambao mara nyingi walikuwa wanaombe mpira nyuma ya mstari wa ushambuliaji wa wapinzani wao ( na ndio ilikuwa inawasaidia kufika haraka kwenye lango la Silver Stikers hasa Doumbia naye akiongezeka akitokea nyuma ya mstari wa kiungo wa Silver )
Silver Strikers nguvu yao kubwa ni ' Short Passing game ' na mara kadhaa ambazo walikuwa wanajaribu kufanya hivyo walikuwa :-
A) Wanatunza sana mpira hasa kuanzia nyuma na kiungo
mara kdahaa walifanikiwa kuondoka na mpira na kufika kwenye box la yanga
B) Wanawafanya Yanga kuutafuta sana , na kupunguza energy level ya Yanga
ikafikia wakati Dube akachoka kuzunguka mbele pale peke yake tu.
C) Wanasogea juu kwa pamoja wakiwa wengi
na hii iliwacost mara kadhaa kwani ubutu wa Dube na Edmund john ulifanya wqkasalimika otherwise chuma nne zilikuwepo nyavuni leo.
D) Shida yao ilikuwa moja tu : Maamuzi sahihi katika nyakati sahihi na kulazimisha mipira mirefu ambayo kwa Yanga ilikuwa rahisi kwao na kuishia vichwani kwa bacca na job tu na kurudishwa kwa kiungo cha yanga
✍Kipindi cha pili Yanga walionekana level ya Fitness kuwa chini ( kwa wachezaji kadhaa ) ambayo inaathiri kwa kiasi chake utendaji wa timu nzima : Maana yake ile intensity ya uzuiaji ikashuka na kushambulia wanakuwa wachache ( licha ya nafasi bora sana walizotengeza kipindi cha pili )
Hapa kocha wa viungo wa yanga ana la kujibu
Team iko down na inakata moto kipindi cha pili
While yanga ya mwanzo ilikuwa kipindi cha pili ndio kama wanaanza mechi!
Hii sio yanga tuliyoizoea.
MUHIMU..
1: Silver Strikers wana uwezo mzuri wa short passing game na rotations ya wachezaji kupata spaces kwa urahisi sana hata kipa wao yupo vizuri sana mguuni. Shida iko kwa maamuzi mbele pale, bado wana wachezaji wenye mentality ndogo.
2: Job na Bacca kwenye kuzuia kama waki switch one wanakuwa hodari sana
Kiwango kizuri sana
3: Abuya energy yake na intensity kwenye kuzuia na kusogea juu inawapa Yanga uimara He is my best player tangu anakuja yanga 🔥 mtoto wa Tate Mkuu
4: Yanga kama utulivu ungekuwa mkubwa basi 4-0 zingekuwepo leo
dube aache mawenge na bahati mbaya anayechukua nafasi ni boyeli naye maji kupwa maji kujaa.
Dube ilibidi tu aombe kubadilishwe mwenyewe baada ya kukosa ile nafasi ambayo kama ile ile pacome alifunga yeye pia akakosa mwanzo first half
6: Pacome : Yanga wanahitaji huyu awe fit sana msimu mzima huu. He is so good 🔥 anafanya vitu vitokee hata kwa lazima na leo ameibeba mechi mwenyewe
Wamemnyima sana assist wenzie wakina Dube na kina Edmund.
Yanga watahitaji mzize arudi haraka sana uwanjani
Tumkaribishe kocha Pedro sasa na kumuacha ajenge team kwa sasa,
Yanga hakuna kocha kwa sasa Mabedi amekaimu tu pale.
NB: Kuna team haijafuzu mjue bado? Zaidi kuna mchezaji kawakimbia na walimtabiria mabaya leo kaanza mechi nzima na kafuzu makundi🤣
View attachment 3493545
Its Pancho
MkuuNimekuelewa vizuri sana Its Pancho! Analysis nzuri ingawa makolo watapinga na watasema SS wamenyimwa goli lao sijui wewe ulionaje hapo?
Mkuu
Kwa muktadha wa kawaida juu juu unaweza sema goli kweli
Ila naona pale diara alifanya ujanja kutoka na kumgusa kidogo yupe mchezaji wa SS.
Kwenye box la kipa wewe ndio unakuwa umemgusa hata kama aliruka mkagongana juu wewe ndio unakuwa umemgusaKwa kauli hii maanake Diara ndio kacheza faulo?