kweli mzee RWABUTUNDA kutuka kashaba amekuwa diwani wa CCM kata KYAKA wilayani missenyi zaidi ya miaka 20, na yeye kweli ni MUHIMA (mfugaji kutoka Rwanda), sijui naye atarudishwa au kwakuwa ni mdau wa CCM, ataachwa? yangu macho.
:tape:
Mh. NAPE, Hebu itazame tena hiyo miaka uloiandika yaanisheria ilikuwa inatumika na kufanyiwa marekebisho mwaka 2012, then wewe umetumia sheria iliyorekebiswa mwaka 2010, jamani mkuu huoni km kuna uongo mweupe tena wenye mbolea? ITAZAME UPWA THREAD YAKO NA Walau utupe evidence kwa kutuonesha...
Kabla hujamuangalia Mbowe hebu ujikumbushe kidogo kwa FREDERICK WAREMA NA SELINA KOMBANI walipokeaje katiba mpya, walisemaje na sasa aibu zao au za mbowe(chadema)? tanguliza uzalendo wa nchi yako na sio ushabiki wa chama chako.
wanaume 2ungane kwenye rasmu hii ya katiba mpya, tuupinge unyonyaji huu, km wote 2nanufaika na ndoa, kwanii tugeuzwe mtaji hali wakati ndoa za cku hiz ni kama cmu za mchina, hakuna Gurantee.
:focus:
mtoa mada tatizo lako ni hesabu ni tatizo lako ni shule, hebu lejea neno UFSADI, limetajwa mara ngapi then tafautisha numerali na digitali. Neno moja ufisadi, lenye ngazi tatu with different weightege. tumia falsafa kung'hamua kilicho ndani yake na tumia busara kuelewa kauli za wasomi.
Wengi wa wawakilishi wetu (WABUNGE) Kutokua makini wakati bunge likiendelea imekua kasumba, kipindi cha asubuhi kwenye bajeti ya elimu Mariam na mwenzake(CCM) walitolewa nje, wakati wa jioni Naibu waziri wa fedha hakujua kinachoendelea mpaka spika akamctua mara 2 kujibu swali lililoulizwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.