Sitta Rais, Dr Slaa Waziri Mkuu, 2015

Sitta Rais, Dr Slaa Waziri Mkuu, 2015

Hii game imetulia ila,tuvute subira muda ufike...
 
Jamaa naona unapima upepo!! tutapata combination nyingi tu lakini kwangu mimi still DR.Slaa / Mbowe is the Best ever!!
 
MMOJA ni senior kwa mwenzake inategemea ni katika aspect ipi. ila wote ni Mr. Clean
 
Last edited by a moderator:
mkuu mtazamo wako ila tu kwa kukusaidia mh sita ni kama kinyonga ubadilika na hana msimamo katika hoja zake labda tumteue kuwa balozi huko comoro.
 
Wadau,
Sitta ni nguli wa siasa na yuko vizuri sana. Dr. Slaa analijua hili.
Alitamani sana kumpa Sitta nafasi yake 2010...

maarifa pekee hayatoshi...leadership has loads of issues...wilpower...clear concinsious...dedication...courage n bravery lyk David...wise as Solomon...God fearing...da ability to recognize a problem b4 t becomes an emergency....cjaona bado mtu wa ccm anaekaribia apo.
 
Mkuu ibange,
Heshima Kwako na Amani iwe nawe, Naona jina lako lina Reflect Kabisa Yaliyo kichwani Mwako.
Mama Kilango ana uadilifu gani wa Kuwa Waziri????
Ole Sendeka ana uadilifu gani wa Kuwa Waziri???
Hivi hujawahi Kusikia Kashfa za Sitta??? Huyu si ndo aliamua Kujenga Ofisi ya Speaker Urambo!!!!
Hiyo Ofisi inasaidia nini sasa???
Yaani Mkuu, Huoni hata Haya Kumfananisha Dr Slaa na Sitta???
Sio Sitta Huyu huyu aliyemuita Dr Slaa Mzushi Kipindi Dr Slaa anawasilisha Document za EPA Bungeni???
Kwa Taarifa yako Sitta jinsi unavyomuona ni Matokeo ya Kuchinjiwa Baharini na Mtandao wa JK..
Ni wivu ndo unaomsumbua Hadi kufanya anayofanya.
Hayafanyi yale Kutokea Moyoni, He is Just a Gold Digger.

Important:
Mkuu ukome na Ukomae Kumfananisha Rais wa Mioyo yetu wa Tanzania na Mnafiki kama Six
 
Last edited by a moderator:
ndoto za kweupe hivo
Wana JF natamani Sitta
angegombea urais kupitia Chadema 2015 awe Rais halafu Dr Slaa akagombee
ubunge ateuliwe kuwa PM. Mawaziri akina mwakyembe, Ole Sndeka, Kilango,
Mnyika, Mdee, Lissu nk. Nadhani hiyo timu ingefanikiwa sana.

Sitta na Dr ni watu wakali, wanaichukia rushwa, wana busara na ni
waadilifu.

Ukimwangalia Sitta na ukirudi ukimwangalia Dr Slaa, unauona unyerere
ndani yao. Pamoja na hawa mabwana kuwa na maadui wengi, ulishawahi
kusikia wanatuhumiwa au kuzushiwa rushwa? Hawa maadui wangekuwa hata na
chembe ya ushahidi wa rushwa wangeutumia.

Waulizeni watu wanaotokea Hanang au Urambo na pia chunguza mwenyewe
utagundua hawa mabwana ni kati ya rare breeds zilizobaki Tz.
 
Ni dr. Slaa 2015 mpaka hapo ubao wa matokeo utakaposomeka vinginevyo.
 
Hiyo thread ilikua ya lini,ilijibiwa accordingly
nimereply post yako uliyosema dr. slaa ni mtu anaefaa kugombea urais ndo nikasema hiyo ni demokrasia? kwa nini msiruhusu mchakato huru wa kila mwanachama anaejisikia kugombea afanye hivyo ili kuepuka gharama tena ya kumlipa mtu mshahara sawa na mbunge. watu wagombee atakayeshindwa na lake halipo hiyo ndo demokrasia makini lakini kwa haya ya sasa chadema mnaushangaza ulimwengu
 
Back
Top Bottom