Ndugai kapinga ataki spika atoke nje ya Bunge sijuhi anamaana gani.
TBC1 wamemwonyesha Mheshimiwa Komba akiwa anabofyabofya simu yake bungeni na kutabasamu wenda kutokana na alichokuwa akikiandika au kilichomfanya abofye simu yake na kusahau kilichompeleka Bungeni!
Alikuwa anachati na lulu
Bahati mbaya ni mapungufu ya uongozi wao uliosababisha wananvhi wengi kutoa maoni hayo ya Spika kutokuwa mbunge au kiongozi wa chama! Wangetenda haki watu wasingelisema hivyo. Mabunge mengi ya Kidemokrasi spika anakuwa mbunge na mara nyingi anatokana na chama chenye wabunge wengi. Kwahiyo wajilaumu wao.Alikuwa anategemea kumrithi Makinda kwenye Bunge lijalo, sasa Rasimu ya Katiba imekimerusha nje ya Bunge kiti cha uspika ndo maana ana anza kutoa povu!
Nadhani Warioba kaliona hilo kwenye Ibara hii ya 30.-(1) Kila mtu anao uhuru wa-
(a) kutafuta, kupata na kutumia habari na taarifa na
kusambaza taarifa hizo; na
(b) kuanzisha vyombo vya habari na njia nyingine za
upashanaji wa habari bila kujali mipaka ya nchi.
(2) Vyombo vya habari vitakuwa huru na vile vile vitakuwa na:
(a)haki ya kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa
wanazopata;
kwa kuwamirikisha uhuru huu kwa TBC peke yake baada ya hii rasimu kupitishwa haita kubarika tena.
Hivi inakuwaje TBC peke yake ndio inarusha live kipindi hicho cha Bunge ?
.....ni sheria ama ni kitu gani hasa ?
Nadhani Warioba kaliona hilo kwenye Ibara hii ya 30.-(1) Kila mtu anao uhuru wa-
(a) kutafuta, kupata na kutumia habari na taarifa na
kusambaza taarifa hizo; na
(b) kuanzisha vyombo vya habari na njia nyingine za
upashanaji wa habari bila kujali mipaka ya nchi.
(2) Vyombo vya habari vitakuwa huru na vile vile vitakuwa na:
(a)haki ya kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa
wanazopata;
kwa kuwamirikisha uhuru huu kwa TBC peke yake baada ya hii rasimu kupitishwa haita kubarika tena.
siku tukiwa na spika asietokana na chama; basi kuna siku waziri mkuu atatolewa nje.
GENERAL | ||
---|---|---|
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Mariam | |
Middle Name: | Reuben | |
Last Name: | Kasembe | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Masasi | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | P.O.Box 26, Masasi | |
Office Phone: | +255 784 937964 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | mkasembe@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth | 26 August 1957 |
Ni maamuzi tu ya serikali,nchi nyingine hairuhusu bunge kuoneshwa live,ni nchi baadhi ndio zinafanya hivyo.Hivi inakuwaje TBC peke yake ndio inarusha live kipindi hicho cha Bunge ?
.....ni sheria ama ni kitu gani hasa ?
Ni maamuzi tu ya serikali,nchi nyingine hairuhusu bunge kuoneshwa live,ni nchi baadhi ndio zinafanya hivyo.