Dr slaa ataja matatizo matatu yanayokabili tanzania

unashangaa nini hapo, huo ndio ujinga wenu, yaani hapo unachoshanga ni kuona kwamba, UFISADI,UFISADI na UFISADI ni sawasawa na moja badala ya tatu. mbona ushangai unapoona, mungubaba,mungumwana na roho mtakatifu ni sawasawa na moja badala ya tatu

Wewe nimekuelewa kumbe hiyo ndiyo falsfa aliyotumia!
 
Yaani,katika matatizo yote yaliyopo ndani ya jamii,hilo ndiyo umeona la kuwaeleza wana Jf! Kweli wewe KILAZA!!
 
mtoa mada tatizo lako ni hesabu ni tatizo lako ni shule, hebu lejea neno UFSADI, limetajwa mara ngapi then tafautisha numerali na digitali. Neno moja ufisadi, lenye ngazi tatu with different weightege. tumia falsafa kung'hamua kilicho ndani yake na tumia busara kuelewa kauli za wasomi.
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?



Sijuwi maana ya ufisadi nini? Maana it's the term that has different meaning to different people therefore different perspectives.... Kama ni hivyo Babu ni fisadi wa kwanza kapora mke wa mtu na Chamdomo wanamlipa fedha nyingi sana lakini haongelei hilo
 
mtoa mada tatizo lako ni hesabu ni tatizo lako ni shule, hebu lejea neno UFSADI, limetajwa mara ngapi then tafautisha numerali na digitali. Neno moja ufisadi, lenye ngazi tatu with different weightege. tumia falsafa kung'hamua kilicho ndani yake na tumia busara kuelewa kauli za wasomi.

Kweli wewe shule sio tatizo! Yaani umeandika sentensi 2 makosa yako zaidi ya matano!

Ilani ya CHADEMA ilikuwa inakusudiwa kwa raia wenye uelewa wa kawaida, kwa hiyo sidhani kama kulikuwa kunatakiwa falsafa zaidi ya kiswahili fasaha.
 
Mkuu. wangu, kama hujamuelewa Slaa basi pole sana. Nchi hii ina kila kitu ndugu yangu. Tatizo ni wizi uliokithiri. Kama tutapata kiongozi atakaepiga vita wizi kwa miezi sita tu, kisha tutashuhudia mabadiriko makubwa sana. Hakuna kitu kingine kikubwa kinachozorotesha uchumi wetu zaidi ya wizi au kama unavyojulikana kwa jina jipya, ufisadi. Mark my words.

Mkuu, mleta mada ameleta kiushabiki. Kwa bahati mbaya sina huo ushabiki wa vyama. Ila nina kumbu kumbu ya rais wa awamu fulani ambaye alipata kukutana na waziri mkuu mstaafu wa Malaysia (Dr.....). Alipomwuliza kuhusu mbinu walizotumia kupata maendeleo ya kiwango kile akamjibu. Ili muendelee mnahitaji kukazania vitu vitatu. Cha kwanza ni elimu, cha pili ni elimu na cha tatu ni elimu. Ukilinganisha hizi kauli mbili za hawa ma-Dr. utaweza kupata jibu.
 
Babu hana jipya yy mwenyewe fisadi kwenye chama chake hizo hela alizojikopesha karudisha na mshahara mkubwa anaokomba kisa aliacha jimbo na kugombea urais sio mzalendo huyo ana maslahi binafsi anayowaza
 
Mwaga somo la second to none mkuu, mimi sijui. Ila najua kuwa 1+1+1=3 sio moja!

Ngoja nikupe mfano rahiiiisi:Hivi ukiochukua Zanzibar(nchi moja) + Tanganyika(nchi moja) = Tanzania(nchi moja).Sasa kwa nini unashindwa kuelewa concept ya Dr?
 
Back
Top Bottom