Ni mwanasiasa gani anaekuvutia katika siasa zake?

Salaam! Hoja yake ni hiyo na inaelekeza attention kwa wale wasiojua kuwa siasa zao zinawavutia wananchi. Tuache ushabiki, baadhi ya wanasiasa tunaowataja hawana mvuto hata kwa watoto wa chekechea! Au mvuto tunaouzungumzia hapa ni hata ule wa kichekesho?

mvuto hapa unaoongelewa ni ule unaoweza kumvutia anaekusikiliza asie wa itikadi yako akukubali bila ya kumhonga au kumshawishi kwa mali ya aina yoyote ila .. Pia hapa hauongelewi mvuto wa kuwavutia wanachama wako chamani,.
 
Shujaa Dr W. P. Slaa mchapa kazi sio muoga anathubutu na si mnafiki kama 6, mwakiembe, magufuli kawafungua watz wengi
 
Warema(jaji mkuu) nthubutu kumuita mwanasiasa coz alikataa katu kuwa katiba ya zamani inajitosheleza kwa sasa haibu kwake.
 
Back
Top Bottom