Acha ujinga, tafuta ajira za kufanya na sio kupewa hela na sisiemu, laptop plus modem na kuanza kutoa kashfa kwa watu wenye heshima zao.
Mwambie huyo Jeikei akubali mdahalo huru na Dr.Slaa ili utambue kua Dr. ni level ya juu na uelewa wako mdogo ndio chanzo cha kutomtambua nani ni mtu makini.
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu!
wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi
daladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar...
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nakubaliana na kauli ya Mdee @ all but not SISIEMU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.