Kunakitu sio bure UDOM

Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
 
are u serious?
 
sema maji wanachota mbali bana mimi hua naenda mara kwa mara hutembea kama mita 800 mpaka 1km kufata maji sumtime huletewa na magari ya kichina na muda mwengine yanatoka. Tuongee reality tusipende kukuza mambo
 
Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
Hee!kumbe kuna watu wanasoma MD udom?sasa hzo lab na wards za kuvisit zko wapi?au nao watakuwa madaktar wa vitabu,udom kuna raha sana.
 
yani serikali inatengeneza bomu ambalo,moto wake utakua ni kilio kwa watz wengi,con haja ya udom kuwa na makozi mengi hvo yacyokua nyenzo za kujfunzia.
 
maji kama yanapatikana mita 800 hadi km 1 mara kuletewa na magari ya kichina , hilo tayari ni tatizo
 
Acha majungu leo siku ya tatu amna maji college nzima. Jana wanafunzi waliyachota kwa wajacilia mali km 2. Lengo lao ili na sisi tugome.
chuo kinapaswa kufungwa....ili kuepuka milipuko ya magonjwa.....mambo haya ya maji yalifanya mwaka fulani mtu apoteze maisha udsm
 
Back
Top Bottom