Sizani kama kuna makosa yeyote kwa sheikh kufanya maombezi juu ya kiumbe kilichopotea,niwajipu wa watumishi wa Mungu wote walio hapa Duniania ili kuokoa roho za watu.
Elimu haina mwisho inatupasa tusome kukuchapo, kwani twapaswa kuelewa nafaka inapobadilika na kuingia ktk hali ya uozo na ukailazimsha kutengeneza mfano mafuta ni sawa na kudili pombe kuwa mafuta ya gari kitu ambacho kitaadhili mfumo mzima wa gari. Mfano tu.
Wenye kudhibiti ubora wa bizaa ni kazi yao kuhakikisha baada ya kuwa imezibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa , maana wao ndio wanao weka nembo tbs kumaanisha kuwa hiki n salaama kabisa. How this now?
Inasemekana huyu dada alienda ugaibuni kufanya kazi za ndani so mambo yameenda sivo ndivyo , maana kwa sasa pia kuna campuni za kinachi zinazamini hawa dada zetu kwenda nje kufanya kazi . Kumbe wao wanachokitaka ni figo,ini, na moyo. Ni bidhaa inayouzika sana dubai. Take care the world has changed
Nikweli unachokisema , kwani taifa kam taifa linahitaji kiongozi mwenye maono, takaye weza kuongozo maono ya taifa na kuyafikisha, kingine awe mtu aliye itwa kwa ajili ya kuwatumikia watu na si chama kama tunavyofanya leo. Mwenye kujitoa kama musa alivyojitoa kuwa toa wana wa misri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.