Ukipata nafasi ya kumshauri ushauri mmoja tu Mh. Rais Utamshauri nini?

thuma

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
369
497
Wakuu najua nchi haijengwi na mtu mmoja, tunahitaji mawazo ya watu mbali mbali ili tuijenge nchi yetu.

Ikitokea Leo umepata nafasi ya kusikilizwa na Mh. Rais utatoa ushauri gani? Kumbuka nafasi utakayo pewa ni moja tu, utamshauri nini?

Binafsi nitamshauri aunde tume huru ya uchaguzi.

Wewe je?
 
Kwanza kupata nafasi ya kusikilizwa na Raisi ni ngumu; bora tu tuendelee kuisoma namba kwa mbali hivihivi!
 
Back
Top Bottom