Anguko letu laja kwa kasi kubwa

MWANA ileje

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
744
571
Ili nchi iweze kusonga mbele inahitaj watu, siasa safi na uongozi bora. Tunapozungumzia watu tunajumlisha uwezo wao wauzalishaji (man power) uzalendo na uwajibikaji kwa taifa lao kadhalika swala la uongozi bora tunaangalia sio bora tu uongozi bali viongozi wenye kuhoji kukosoa kwa uwazi bila woga kadhalika swala la siasa safi nizile zakushindana kwa hoja kuwa na sera thabiti zakutusogeza mbele kimkakati kama taifa.

Mambo hayo matatu yanakwenda kwa kuchungana sana kama sio kutegemeana kwa kina.....leo hii tunaona kuwa ni dhahiri tumefeli karibu katika kila angle ya hayo mambo makuu matatu na source kubwa ni jambo moja kufeli kabisakabisa , namaanisha siasa safi na kupelekea hayo mengine kupalalaizi kabisa. Siasa yetu sio safi kabisa hasa ya chama tawala (ccm) imejaa vitisho figisufigisu kufichiana maovu uroho wa madaraka na uvivu wakufikiri kabisa mfano wakat dunia ikisongambele kila kona ccm wanajfanya hawaoni huku wanakazana kwamba sera yetu ni ya ujamaa nakujitegemea which is completely non sense coz kila kitu kiko waz kwamba imeshindwa kucontrol masoko imebinafsisha na kuyauza makampuni mama kinyume na sera ya ujamaa soko la sasa ni zaid ya huria limekuwa holela.....

Kwenye swala la utawala bora ni zero kabisa watawala wanashindwa kabisa kutawala kwakutumia positive mind iliwawe creative ktk angle zao unsteady wamekuwa watu wa matukio vitisho dharau na uoga wakuhoji kitu kilichowaamvukiza adi raia wakawaida tumekuwa wazto kuhoj kutokana na uzto na uoga wa viongoz wetu....

Uthibitisho zaid katka hili ni matukio kama kutekwa kwa baaz ya watu hatuhoji kubomolewa nyumba hatuhoji kiuwazi zaidi viongozi wetu kuwa mabashite hatuhoj kukamatwa nakufunga biashara zetu (machinga) kitendo cha taasisi nyeti kama usalama wataifa kutuhumiwa tu ingetosha kuingia barabarani kushinikiza ufanyiwe marekebsho.....

Natoa rai yangu: chama tawala kikiendelea na siasa chafu huku viongoz waliopo madarakani pamoja wastaafu wasipofungua moronic nakupaza sauti watalitumbukiza taifa shimoni
 
Tena tusipokuwa makini utakuwa mzinga kwelikweli na wenye bastola sijui watakula wapi?
 
Nikweli unachokisema , kwani taifa kam taifa linahitaji kiongozi mwenye maono, takaye weza kuongozo maono ya taifa na kuyafikisha, kingine awe mtu aliye itwa kwa ajili ya kuwatumikia watu na si chama kama tunavyofanya leo. Mwenye kujitoa kama musa alivyojitoa kuwa toa wana wa misri.
 
Tatizo mkulu hajui kati ya sera na kibwagizo ndo mana leo hii anashndwa kutofautisha kati ya hapa kazi tu kama kibwagizo pamoja na Tanzania ya viwonder hahahaaa
 
Halaf mchakato wa kuanguka kwa taifa hili unakwenda kwa speed sana na hii inathibitishwa na jinsi ambavyo organs za government haziko coordinated vizuri. Kwa sasa nchi inaongozwa kwa matamko ya mmoja na wengine wote tena wa mihimili yote wameufyata. Something needs do be done or we are doomed. Wazee maraisi na mawaziri wakuu wastaafu (na wazee wengine wengi tu wenye hekima) nao wakinyamaza kimya watajibu kwa Mungu mwenyewe!
 
wewe unasema anguko linakuja! nchi imo kwenye free falling sasa hivi haijafika mwisho tu, tukigonga chini ni vipande vipande hamna kitachoeleweka
 
Huwa najiuliza sana uchaguzi ujao hilo zanzibar ccm watatumia njia gani kushinda ikiwa hii yakurudia uchaguz imetugharimu kukosa misaada mikubwa mikubwa sasa je wakirudia tena kosa sjui tutanyimwa nini
 
Back
Top Bottom