Recent content by Ze dealer

  1. Z

    Tangazo toka jkt

    Mfano mi nimesoma tanga kwetu mbeya nitatakiwa kuridi tanga?
  2. Z

    Wengi wanaowaponda wazanzibar ni wale waliotoka mikoani kuja dar ukubwani.

    Kwanza sisi ni watanganyika wala si watanzania bara!dar ni sehemu ya kibiashara kuzaliwa dar haimanishi we ndo unajua hii nchi,mbona watu toka unakokuita mkoani ndo wanaifanya dar iwe unavyoiona?kwani kipindi cha utumwa waarabu hawakufika bara?nahisi ulikimbia shule,hujui tofauti ya wazanzibari...
  3. Z

    Mtoto wa miaka 15 amuua mama yake kwa panga

    Kumbe kuna familia ambazo ugomvi bado u!sasa huyo baba amekimbia,mtoto kakamatwa,mama kafa,familia haipo tena du kweli dunia ina yake!r.i.p our mama
  4. Z

    Cocacola wamnunulia gari jipya diamond

    duuu...!sasa mdomo umenahusikaje?kila mtu anakasoro zake bhana!
  5. Z

    Humu sio TCU WALA HESLB

    Hivi si hili jukwaa la elimu,sa waende jukwaa gani?ebu mtoa mada waelekeze,kumbuka hakuna anayelazimishwa kutoa ushauri!ukiona huna cha kusema piga kimya pumb*f..u kabisa
  6. Z

    Sina uwezo wa kifedha kusoma chuo kikuu

    Pole sana, usikate tamaa. Nenda kwenye taasi za dini may be unaweza saidiwa.
  7. Z

    Nawapa ushauri wa bure mliofeli GS form six.

    sa unashanganini?ebu fanya analysis ya watu walofeli gs utagundua kitu mguu,lazima kutakuwa na tatizo mahali haiwezekani wanafunzi wafeli gs kuliko masomo ya kwenye michepuo yao.Amini usiamini hapo kuna kitu
  8. Z

    Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Ivi komba ni kaptain wa jeshi au ukaptain gan jamani?
  9. Z

    Babu wa Loliondo agundua UNYAYO wa mtu wa 182 tangu kuumbwa kwa Adamu...

    Ha ha ha ha ha!bustan ya eden ilikuwa ngorongoro bora nimejua nilikuwa cjui as!ila nimuongo tu sema haogopi moto
  10. Z

    Wanaume Wasiojua Kutongoza na Wanawake Wasiojua Kupendwa ni Mtihani kwa Watu Wengi!!!!!!!!!

    Hajui kutongoza nn sasa?mbona umemuelewa..,tega goli jamaa aanze zoezi
  11. Z

    Nimetongozwa na gegedu mwenzangu, nisaidieni mawazo!

    Mi cjaelewa anataka umgegede au akugegede wewe?
Back
Top Bottom