Recent content by zanku

  1. Z

    Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Mamilioni ya watanzania wazalendo wamepaza sauti zao kupinga kuondolewa kwa kigezo cha mtu kuruhusiwa kuingia jeshi baada ya kupitia JKT. Watanzania kwa umoja wao wamepinga azimio la Bunge kwa kuwa ni kichekesho na umaamuma mkubwa. Kitendo cha Bunge kupitisha azimio hilo kinaenda kuua kabisa...
  2. Z

    Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

    Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu " Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA 1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI 2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa...
  3. Z

    IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    Mwigulu tumponde kwenye siasa zake lakini Uchumi wa nchi kaumudu sana. Majirani wanakiri hilo sana, nilikuwa kisumu juzi, wanatupongeza sana linapojuja suala la stability ya uchumi na siasa za nchi. Mwigulu atakuwa Rais baada ya Samia kwa fact ya kukuza uchumi na collection ya tax. Wengi huwa...
  4. Z

    Nakiri, nimesoma Ripoti yote ya CAG, Taarifa zote za Kamati ya PAC, LAAC na PIC, Mwigulu Nchemba hajatuibia. Wabaya wake wanamsingizia

    Mwandishi nguli wa kujitegemea Idris Sebuleni ameandika katika ukurasa wake wa Twitter (x) maneno haya. Namnukuu" "Nimesoma ripoti yote ya CAG, Taarifa za LAAC, PAC na PIC hakuna mahali Mwigulu ametajwa kuhusika na wizi wa hata thumuni. Hakuna sehemu hata moja imetaja ameshiriki kusababisha...
  5. Z

    Tetesi: Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.

    TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya kikundi cha CHADEMA zinasema kuwa mpango na mkakati wa kumpokea Luhanga Mpina kama mwanachama wao mpya kuelekea uchaguzi wa 2025 umekamilika na anatajwa kuwa ni mtu anayekwenda kupewa nafasi ya umakamu Mwenyekiti wa kikundi hicho kufuatia mgogoro unaoendelea...
  6. Z

    Namba hazidanganyi, Mpina hastahili kuwa mbunge, Uelewa wake ni mdogo sana

    MPINA HAJUI HESABU, ACHA NIMREJESHE DARASANI 1. Katika Bajeti 44 trilion zinapigwaje 30 trillion? Afu na mishahara ya Trilioni 20 ikaendelea kulipwa? Huku mtaani miradi ya matrilioni ikaendelea kutekelezwa? Hata hili umeshindwa kuling'amua? 2. FIU kwa sehemu kubwa inachambua miamala ya sekta...
  7. Z

    Wanasiasa wajiweke pembeni sakata la Kariakoo

    Mimi si mtu wa siasa ila kama mdau wa uchumi ninatamani niongelee mambo kadhaa katika context hii ya kiuchumi. 1. There is no way tax payer amewahi kukubaliana na issue inayohusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari, popote duniani na hii ni kwa sababu kodi inauma. 2. Kariakoo ni onus ya mapato...
  8. Z

    Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

    Wanajamvi wasalaam. Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana. Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga. 👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine...
  9. Z

    Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    Rahabu wa Manyoni Frank mwaisumbe wa Monduli
  10. Z

    Watanzania wamtaka Diamond Platnumz alipe Kodi, Janjajanja sio suluhisho

    Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii tofauti wamemtaka Msanii na Mfanyabiashara Nasibi Abdul almaarufu Diamond Platnumz kulipa Kodi na sio kuleta janja janja. Wakitoa maoni katika kurasa tofauti, Wananchi wameshangazwa na namna msanii huyo ameishambulia Taasisi yenye uweledi kubwa kama...
  11. Z

    Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

    Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo. Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali. Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu...
  12. Z

    Martin Maranja Masese, elimu hii ikusaidie. Siku nyingine usikurupuke

    ELIMU YA BURE KWA MARTIN MARANJA MASESE NA WANAOMTUMA Elimu hii ninayokupatia ni bila ada, uwafikishie na maboss zako. Sababu za Changes unayotaka kulazimishia mambo yenu Iko hivi; Mosi, wakati Waziri anasoma bajeti Bungeni ilikuwa ni estimate tu, hii ya sasa ni Actual kutokana na uhalisia...
  13. Z

    Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Kamanda Peno, Fedha za Mfuko wa Jimbo zimetumika hapa machame kukarabati Shule ya Lambo Extended ambayo amesomea Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe, Shule ilikosa hata choo wanafunzi wakawa wanajisaidia machakani ilhali Kuna Mbunge tena Mwanachadema Mwenzetu. Naona Saashisha Mafuwe kaja kujenga choo...
  14. Z

    Barua ya wazi kwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango

    BARUA YA WAZI KWENDA KWA DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA Anaandika Hassan Ruangwa Wasalaam Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Natumai ubukheri wa afya ya akili na Mwili, Dhumuni la Barua yangu kwako ni kusisitiza kuwa lazima uendelee kuonesha ukomavu huohuo bila kupepesa maneno, Kodi ya Serikali lazima...
  15. Z

    Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
Back
Top Bottom